Recent content by Mtoto wa Shule

  1. M

    Joyce Kiria apata PhD toka Lucent University, UK

    Huyo ana "Honorary Doctorate"!
  2. M

    Joyce Kiria apata PhD toka Lucent University, UK

    Mtoa post anasema ukiishapata PhD unakuwa "Full Professor"! Na huwambii kitu akakubali! kitu! Ahahahahaha!!
  3. M

    Kama mnataka kuchukua Ubingwa na kufika mbali CAF. Mikia tafuteni Kipa. Mpaka sasa hamna kipa

    Sawa. Hongereni ninyi mna mdaka mishale screen protector ambaye hajawahi kifungwa na ana cleen sheets mechi zote!
  4. M

    Joyce Kiria apata PhD toka Lucent University, UK

    Basi sawa. Hongera kwake.
  5. M

    Hivi mnajua Japani paka wanyama wanaheshimu katiba na sheria

    Maana yake mnyama wa Japan ana akili kuliko wewe.
  6. M

    Wakatoliki huwa mnaamini kweli kabisa Ekaristi ni mwili halisi wa Yesu wakati mnaila?

    Wewe kama sio Mkatoliki, sio rahisi kuelewa. Ni kama vile watu kwenda Mecca kumpiga mawe shetani. Hivi huyo shetani wanayempiga mawe kila mwaka hafi na hakimbii wakati anajua watakuja kumpiga mawe?
  7. M

    Joyce Kiria apata PhD toka Lucent University, UK

    Yaani! Nadhani mtoa post ndio hajui nini ni nini! Anafikiri ukiishapata PhD basi wewe ni "Full Professor"! Ahahahahaha!!
  8. M

    Huyu Mama anampango wa kuongeza muda kisingizio katiba mpya

    Unaweza ukanikimbusha ni Rais gani wa Tanzania haijawahi kumtuhumu kuongeza muda wa Urais na haikuwa?
  9. M

    Joyce Kiria apata PhD toka Lucent University, UK

    Kilichonifurahisha ni kwamba kwasababu kapata PhD sasa amekuwa "Full Professor*! Ahahahahaha!!!
  10. M

    Hivi kweli Tanzania tuna Waandishi wa Habari ama tuna Mandondocha?

    Hujajibu maswali yangu. Ila nina uhakika huwezi kuyajibu kwasababu majibu yake yako Waziri! Ahahahahaha!!
  11. M

    Kuifuta Chadema itakuwa kamari ya kijinga sana kufanywa tangu Nchi hii ivumbuliwe na Wakoloni

    Kwani ukicheka tu, basi Kuna mtu anakutekenya mgongo sio? NIMEKUSOMA!👍👍👍👍
  12. M

    Bunge la Marekani laikosoa ripoti ya Chade, lataka Samia afikishwe ICC

    Haya. Ngoja tusubiri. Tuwe tunapeane updates kila wiki. Sawa?
Back
Top Bottom