Recent content by Mtoto wa Golden Paste

  1. Mtoto wa Golden Paste

    Vigezo vya kuwa Cashier

    [emoji16]sawasawa mkuu
  2. Mtoto wa Golden Paste

    Vigezo vya kuwa Cashier

    Kuna mtu aliniuliza kuhusu hilo swala nikaona nije JF ili apate majibu,kaishia kidato cha nne na kazi ni ya cashier wa supermarket
  3. Mtoto wa Golden Paste

    Vigezo vya kuwa Cashier

    Habari wana JF, Nahitaji kufahamu vigezo anavyotakiwa kuwa navyo anaeajiriwa kuwa Cashier wa supermarket. Pia nahitaji kutambua je,mtu yeyote anaweza ajiriwa kuwa Cashier hata kama hakusomea hiyo kazi? Nahitaji msaada katika hilo tafadhali.
  4. Mtoto wa Golden Paste

  5. Mtoto wa Golden Paste

    Niko njia panda, ushauri tafadhali

    Nimeachana nae muda sana
  6. Mtoto wa Golden Paste

    Naomba kujua jinsi ya kupika michembe

    Wazee wa kanda ya Ziwa tunaelewa sana hiyo kitu
Back
Top Bottom