Recent content by mtk eng

  1. mtk eng

    Je africa sattelite inahusu chanel za bure kwene ving’amuzi?

    Mwaga mzigo hapa boss uzdi kupata baraka
  2. mtk eng

    Mdahalo kati ya Mchungaji Msigwa Vs Joseph Mbilinyi(Sugu)

    Wanacheza mechi za kurafiki...kifupi wanajinoa
  3. mtk eng

    Hili sio Roboti bali ni mdoli mkubwa

    La simba ulanga ilo..au bwejuu
  4. mtk eng

    Kijana hakikisha unanunua gari yako ya kwanza kabla hujafikisha miaka 30

    Da bandiko limefika na nishapitiliza miaka na sina gari
  5. mtk eng

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mmakata na Kuwasha..yan kila mara khaaa.... mtaunguza katv kangu ka mchina...hasa uku nyasa
  6. mtk eng

    Postgraduate Diploma in Logistics and Transport Management

    Ndugu wasomi wa Tanganyika moja kwa moja kwa muda. Mimi nina degree ya elimu kifupi ni mwalimu, nataka kusoma icho kitu hapo juu. ....Vipi wenye mamlaka wanaweza kunibadilisha kutoka kwenye teacher hadi u transport officer endapo nikafanikiwa Kumaliza hiyo programme?
  7. mtk eng

    Vyuo vya kati Tanzania ajira zake hutolewa mwezi gani kila mwaka?

    Vigezo vyake nivipi kwenye upande wa GPA
  8. mtk eng

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hii.. lile sio goli.
  9. mtk eng

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Simba ulanga, bunduki, aisee kuna mbuu sijapata kuona, basi unapukuta mbuu kama siafu wmekudanda... hyo kwenye delta za mto rufiji kibiti ndanindani umoo kuelekea mafia island.
Back
Top Bottom