Yahaya,
Msijaribu kuwa neutral bali mnalazimika kuwa neutral no matter nyinyi ni wapenzi wa chama gani kwa muda mrefu mmekuwa mkijiharibia mbele ya macho ya watanzania kwa mfano wakati mko karibu na ILEMELA Mlishindwa kabisa kuonyesha hatua kwa hatua zoezi la uchaguzi lilivyokuwa linaendelea...
Wapwa zangu wa zanzibar na mahali pengine tz mimi mjomba wenu natafuta video camera mtumba aina ya sonny 3ccd pd170 pamoja na accessories zake.natanguliza shukrani!
Akina kingoba na mhariri wao walisha acha kanuni za habari tangu enzi zile walipoamua kudhalilisha miili yao(habari) na roho zao (maadili) kwa ajili tu ya vijisenti.wana jamvi njaa mbaya.tuyasusie magazeti yao
Mtembezi katika tembea tembea yangu kama ilvyo ada nimefanikiwa kunusa KIGOGO mmoja aliyekaribu na IKULU anadai jina la waziri mkuu mpya ni SHAMSI VUAI NAHODHA wana jamvi mpo?
NANI ATAFANYA MDAHALO WAKATI CUF WAMEFUNGA NDOA NA CCM UNATEGEMEA KITU GANI?
CHADEMA WALIKUWA NA HAKI YA KUTOWASHIKISHA CUF KWENYE KAMBI YA UPIZANI.
:peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace:
yeyote akipewa uwaziri katika nafasi yoyote kwanza sitashangaa pili sitafurahi bali naweza kusikitika tu kuwa nchi inazidi kutokomea kunakojulikana kwenye maafa sababu kuu ni kuwa utendaji wa wa baraza la mawaziri unafahamika ni mafia style/system hakuna anayeruhusiwa kutoka nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.