Recent content by Mtanzania Tajiri

  1. Mtanzania Tajiri

    PPPTZ: Bil 948.5TZS kukarabati Uwanja wa Sabasaba Dar es salaam sasa biashara ni 24|7 sio kusubiri tena msimu wa SabaSaba, Heko PPPC

    Huyu Kafulila akiwa Mkuu wa Mkoa Simiyu mkoa ambao zaidi ya asilimia 60% ya pamba inazalishwa huko, mbali na kusimamia uwajibikaji watendaji wa serikali alianzisha mfumo wa ununuzi wa pamba maarufu kama Simiyu cotton model ambao ulidhibiti wizi wa ushirika kwa kuwaondolea monopoly ktk ununuzi...
  2. Mtanzania Tajiri

    David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

    Utasikia No reform No reaction ata English tu hawajui
  3. Mtanzania Tajiri

    UTAFITI: Tukikikuza kilimo kwa 10% tu tutafuta umasikini wa Watanzania kwa 50%- David Kafulila

    Unaongea point sana leo, Kodi kama kuondolewa basi ziondolewe pia kwenye vibeba mazao
  4. Mtanzania Tajiri

    UTAFITI: Tukikikuza kilimo kwa 10% tu tutafuta umasikini wa Watanzania kwa 50%- David Kafulila

    CCM sio genge ila ni CCM ni chama makini sana Cha siasa nchini Tanzania
Back
Top Bottom