Recent content by MtamaMchungu

  1. MtamaMchungu

    PostGE2025 Hamza Johari adaiwa kujaribu kumng'oa Mange Kimambi nchini Marekani

    Marekani sio Kenya aisee.... huwezi kufananisha wauzaji wa madawa ya kulevya na mtu anayehamasisha maandamano
  2. MtamaMchungu

    Kwani ukitaka kujiunga na TISS unafanyeje?

    Hapa umemaliza... Siku hizi ni ukoo
  3. MtamaMchungu

    PostGE2025 Yeriko Nyerere: Nimepoteza Ndugu wawili katika vurugu zilizohamasishwa na CHADEMA

    Shahidi wa kificho 😂😂 Mabadiliko ni safari ndefu
  4. MtamaMchungu

    Kibaha: Mbunge na Meya waumana katikati kikao cha baraza

    Ukiwa na hela... jeuri inakuja automatically 😂 😂 😂
  5. MtamaMchungu

    Je, Mfanyakazi Ana Haki ya Kukataa au Kuchagua Mfuko wa Hifadhi ya Jamii?

    Sheria zilibadilika... PSSSF ikameza PPF na mashirika yote yanayohudumia watumishi wa umma(GEPF, PSSF, LAPF etc) na wafanyakazi wa binafsi wakabaki NSSF, na wakaondoa ushindani.
  6. MtamaMchungu

    Je, Mfanyakazi Ana Haki ya Kukataa au Kuchagua Mfuko wa Hifadhi ya Jamii?

    Sasa hivi hakuna mfuko bora au mbaya.... yote ni ile ile.
  7. MtamaMchungu

    Sheria za kumlinda mtoto, hasa mtoto wa kike imejikita sana kumkandamiza mwanaume

    Mwanamke jela kwa kufanya mapenzi na mwanafunzi
  8. MtamaMchungu

    Mgogoro wa siasa Tanzania utapungua kwa 90% ikiwa itarudi kwenye Chama kimoja cha siasa

    Wala tusiangaike na vyama... tupate mfalme mmoja na uchaguzi pia tufute.
  9. MtamaMchungu

    HOJA Ajira mpya Serikalini tunapiga tu story ofisini, hakuna kazi za kufanya

    Mkuu tulia tu... hiyo ndio serikali, halafu punguza ujuaji wa private, watakuroga 😂 😂 😂
Back
Top Bottom