Mtuhumiwa wa mauwaji anaweza kupatikana hana hatia ingawa kesi ya mauwaji bado inaendelea. Mimi sioni tatizo kama Chenge amepetikana hausiki hata kama rushwa ya BAE bado iko mahakamani. Simaanishi kama PCCB hawajapika matokeo ya uchunguzi, natoa tu mawazo tofauti...pengine wote PCCB na Ubalozi...
Watanzania tunaelekea wapi? Soma habari hii
http://www.dvidshub.net/?script=news/news_show.php&id=41063
Tunajua kweli wanafunzi wetu wengi wanahitaji msaada lakini pia kuna jinsi nyingi tu misaada hii ingeweza kuwafikia walengwa. Kulikoni?
Waswahili wanasema, "Kidogo kidogo hujaza...
The political situation in Zimbabwe is very dare and Africans need an urgent end of this crisis.
It is not Africa's interest to have war, hanger or any type of escalation of violence or sanctions against African people.
Jakaya Kikwete, as a chairman of African Union, please invites all...
The political situation in Zimbabwe is very dare and Africans need an urgent end of this crisis.
It is not Africa's interest to have war, hanger or any type of escalation of violence or sanctions against African people.
Jakaya Kikwete, as a chairman of African Union, please invites all...
Mkandara,
Kwenye hili,hoja yako na yangu iko sawa... Mugabe is a better choice compared to Morgan...lakini vile vile Mugabe atahitaji kuachia ngazi kwa manufaa ya Wazimbabwe, si kwa sababu yeye ndio mchawi. Nadhani ya yeye mwenyewe anajua hilo.
Kama wakati wote suspect ndio mkosaji...pengine hatuna haja na mahakama!
I don't think if it is fair or reasonable to conclude every statement/action by Mugabe goverment is wrong and every statements by MDC and supporters is correct.... so far we know MDC is saying ZANU-PF is violently...
MDC the main culprit in Zimbabwe violence: police
[-] Text [+] HARARE (Reuters) - Zimbabwe's police have arrested 390 opposition supporters and 156 members of the ruling party over violence since elections in March, the police chief said on Friday, blaming the opposition for most of the...
Mimi nadhani kuna haja ya barua nyingine ya kumtaka Rais wetu asifanye mambo kwa shinikizo la watu wa nje ....in this case Non-africans! ....we want to keep our sovereignty, including our foreign policy sovereignty. Mambo ya kupata viamri kutoka kwa visketi pale State D au Waziri Mkuu bila kura...
Ifuatayo ni hotuba ya Mugabe iliyoleta big media buzz
source:
http://www.politicsweb.co.za/politicsweb/view/politicsweb/en/page71619?oid=91961&sn=Detail
Extracts of Robert (and Grace) Mugabe's statements June 14
Robert and Grace Mugabe
As published in The Sunday Mail (Harare) June 15...
Inaonekana Membe alikua akitekeleza matakwa ya Dr. Rice siku mbili zilozopita.
WASHINGTON (AFP) - US Secretary of State Condoleezza Rice called Wednesday for the UN Security Council and African leaders to press Zimbabwean President Robert Mugabe into holding free and fair elections.
Rice...
Mafisadi ni Mafisadi, na ufisadi wao unahatarisha hata uhuru wa nchi yetu kutoa maamuzi yake independently...pamoja na kutegemea misaada, it is so easy to black mail these corrupts leaders....it is a matter of how much BLACK MATERIALS, US and UK may have on them through Balali, Radar, Chenge...
UK may be betting on pushing Mugabe aside so that they can share the spoil....made to collapse industries in Zimbabwe.....see this article
London-listed investment group LonZim plans to raise a further $60 to $100-million through a share sale to purchase assets in Zimbabwe, it said on Friday...
Zimbabwe minister says UK bribing African leaders
Fri 20 Jun 2008, 17:56 GMT
[-] Text [+] HARARE (Reuters) - A Zimbabwean government minister accused Prime Minister Gordon Brown on Friday of trying to bribe African leader to condemn the southern African country's presidential run-off...
Nakubaliana na mawazo yako, watu wengi hawajui ukweli halisi kuhusu Zimbabwe na Mugabe....wanafata mkumbo.
Soma habari hii, ni ndefu kidogo lakini inatoa mwanga kwenye suala hili.
http://cleveland.indymedia.org/news/2008/06/30586.php
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.