Recent content by msukuma msweetie

  1. msukuma msweetie

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Inakataa bado nlicreate vacancy nkakubaliwa na taasisi husika but bqdo n holaah
  2. msukuma msweetie

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Jaman naombeni ushauri kuitoa hii vacancy not budgeted..mimi ni afisa maendeleo ya jamii..nimeomba normal transfer kama 2 ndani ya huu mwez ikifika kusubmit napigwa na vacancy not budgeted...ndoa yangu inaelekea kufa ntakuwa singo maza ...mnisaidie wakuu
  3. msukuma msweetie

    Dada anahitaji kazi haraka aweze kulea familia yake mme kamtelekeza. Location (DAR)

    Pole sana kwake..Nadhani ingeelezwa kama ana ujuzi gani au cv maybe au namba ya mawasiliiano...
  4. msukuma msweetie

    KERO Responded Barua za Uhamisho TAMISEMI kwa sasa hazisainiwi na Ofisi ya Katibu Mkuu?

    Sema bax tu..bunge lingetungq sheria ijulikne kabisa kuwa hakuna kuhama ukiajiriwa serikalini..watu wajue moja basi.
  5. msukuma msweetie

    Usisiome kozi hizi..!

    project planning management and community development,, serikalini kupata ajira ni mtihani
  6. msukuma msweetie

    Nipo njiani naenda kutambulishwa ukweni

    Jamani hongera sana.kila la kheri ..Mungu aliyekupa wewe akanipe na mimi...
  7. msukuma msweetie

    Vidokezo vya kuingia katika mahusiano yenye afya 2023

    jaman wakikupa tips naomba unistue maana nshajichokea vijana hawa wa mama sa100 siwaelewi wanataka nini
Back
Top Bottom