Recent content by msonobali

  1. msonobali

    Edgar Mwakalebela (Sativa) atangaza mwisho wa CHADEMA

    Huna ubavu wa kuacha siasa, utaugulia kushindwa then utakunja ngumi tena
  2. msonobali

    Wenje ana kazi maalum CHADEMA

    Tulia wewe watu wamekwepa sheria ya mtandao, ukiwashtaki wanampeleka Abdul michano
  3. msonobali

    Nimenunua pikipiki sijui kuendesha vip hawa vijana hawatanipiga hesabu za siku?

    Lazima upigwe tu vinginevyo endesha mwenyewe na wateja huna
  4. msonobali

    PreGE2025 Kuna siri ipi iliyojificha kuwa mgombea Urais kupitia vyama vya upinzani Tanzania?

    Ni kweli mkuu tena wawe wavumilivu hata wakigundua ufisadi mkubwa wa Mali za umma
  5. msonobali

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Angejua angekaa kimya tumsahau kwa alichotufanyia
  6. msonobali

    Tuhuma za wanaharakati wa CHADEMA kupewa pesa na viongozi wa CCM zinaenda kukizamisha chama, Martin Maranja atajwa

    Kuwapigania watu wasiojitambua inachosha, acha wafanye maisha yao
  7. msonobali

    Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Haya ma ccm yanataka kutunyia umafia mpaka huku Yaani simu ni anasa?
  8. msonobali

    Ally Hapi: Rais Samia amefanya super sub, wale jamaa wasitegemee huruma

    Haka kajamaa kangeachwa kaendelee kuuza pilipili. Kalikua kanatia huruma sana
  9. msonobali

    Tunarudi enzi za Ben Mkapa. Nawaona CHADEMA wakinyong'onyea kama CUF!

    uliza wanaopanga ziara za mama ulaya kwanini rostam hakosekani kwenye msafara
Back
Top Bottom