Mashoga wengi wanajificha kwenye kichaka cha niliharibiwa utotoni. Kama uliharibiwa utotoni na kwa sasa ni mtu mzima na unajitambua kwanini uendelee kufanya hio michezo?.
Nadhani ni bahati mbaya tu hio ila ABC kwa ujumla wake wako vzr, nikiwa mtu wa magari napenda kupanda zile D14 zao za tunduma nafurahiaga ule muungurumo wake wa injini..ni hatari sana.
Propaganda hizi..mchezaji professional hawezi kukubali kujichoma madawa wakati uwezo wa kucheza dakika 90 au 120 bila anao. Hawawezi ku risk careers zao kisa simba na yanga
Mkuu, swali lako umetoa options mbili tu, kati ya simba au yanga! Sasa mbona wewe umetoa jibu ambalo halipo kwenye options zako..umejibu yote yalifana🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.