Recent content by msimamia kucha

  1. M

    Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

    Wanawake wa Kinyakyusa ni shida...jirani yangu huku kazi anayo..
  2. M

    Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

    Hakika Jombaa...ushauri mzuri
  3. M

    Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

    Huwa mnajidanganya sana na kutiana Ujinga.
  4. M

    Kulipwa Mafao na Nssf, je unapokamilisha taratibu zote huchukua mda gani kulipwa pesa

    Wadau habari za jioni, Mimi ni Muhanga wa ile sheria mbovu ya 33.3%, nilipitia msoto wa kukaa bila kupata ajira kwa miezi 18, baada ya kukamilisha taratibu zote na kuweka alama za vidole, leo ikiwa wiki ya 2 siku za kazi toka niweke dole, je kwa wenye uzoefu nitalipwa kweli ndani ya mwezi...
  5. M

    KERO Natakiwa kulipwa Milioni 7 ya NSSF, nimepewa 198,000, nyingine hadi mwaka upite, wanajua kesho yangu?

    Mimi hapa nilipitia huo msoto wa miezi 18 baada ya kulipwa 33.3% tarehe 17.06.2026 ndo niliweka fingerprint nikambiwa nisubiri ndani ya siku 30 za kazi....mpaka leo ni wiki 2 za kazi sijui watalipa kweli hawa wahuni maana kila kitu nil is haka mil is ha.
  6. M

    KERO Segesela Street nyuma ya Kitambaa Cheupe - Sinza mmejenga barabara lakini mmeacha mifuko na uchafu, Mamlaka mko wapi?

    Mkuu kwani wewe mpenda Mazingira safi ukikusanya na kuyachoma mahala stahili kuna tatizo?
  7. M

    Tumkumbushe Mwigulu majukumu ya Waziri Mkuu Kikatiba

    Makamu wa Rais alimjaza juzi kule Ruvuma nae Kajazika watu wanamchoro tu.
  8. M

    Video: Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi

    Hao ndo Wananchi wenye hasira kali
  9. M

    PostGE2025 Sheikh Rusaganya: Viongozi wa dini nyingine mnaotoa matamko kuweni na adabu! Kwanini kila Rais anapokuwa muislamu mnatoa matamko?

    Vipi Chuo chenu kikuu hapo mjini Kasoro Bahari nani aliwapa nyie mnaopenda Punje za Mchele.
  10. M

    Yuko wapi FreeMan Mbowe kamanda wa anga?

    "Tutakinukisha sana tena sana" Tundu Ant-Virus Lissy...na kimenuka kweli.
Back
Top Bottom