Recent content by msigwa2018

  1. msigwa2018

    Kwanini sigara inasafirishwa kwa ulinzi mkali?

    Kitu ni hatari kwa afya kisilindwe kweli ?
  2. msigwa2018

    Waziri Ummy: Kigezo kikubwa ambacho tutakitumia kuajiri walimu ni wale wanaojitolea. Alalamikia barua feki

    Na kuna wana watafoji waonekane walijitolea na huku hawajawahi kujitolea kabisa
  3. msigwa2018

    Ajira za Walimu: Kigezo cha kujitolea ni kichaka cha rushwa, upendeleo na udanganyifu. Rais Samia kimulike

    Kuna mwanangu amehangaika sana kutafuta post kwa ajili ya kujitolea lakin wapi mpaka leo hajawahi pata sijui akiisikia hii taarifa atakuwa katika hali gani huko aliko
  4. msigwa2018

    Tigo kwaherini

    Jero unapewa Mb 50 tigo ni mbwa
  5. msigwa2018

    Video: Hotuba ya Sugu kwenye msiba wa Mwabulanga yawaacha wana CCM wakijiinamia kwa aibu

    Kuna kipindi walisemaga tujiajiri bila shaka atakuwa ameshaanza huo mchakato
  6. msigwa2018

    Video: Hotuba ya Sugu kwenye msiba wa Mwabulanga yawaacha wana CCM wakijiinamia kwa aibu

    Sugu yuko na stress mingi sana kipindi hiki
  7. msigwa2018

    Harmonize punguza matumizi ya sigara na vinywaji vya baridi pumzi imeanza kua shida

    Dili kapewa na nani mkuu mbona unatetea ujinga
Back
Top Bottom