Recent content by Mshana Jr

  1. Mshana Jr

    Umuhimu wa kuomba Mungu akupe washauri kwa ajili ya maisha yako na kazi unazofanya

    Mungu akuhuishe upya nafsi yako na upite naye maeneo magumu ambayo hata wanadamu hawawezi kukusaidia.Mungu akubariki sana!
  2. Mshana Jr

    Umuhimu wa kuomba Mungu akupe washauri kwa ajili ya maisha yako na kazi unazofanya

    💪🏿🙏🏿✍🏿 MAAMUZI MABAYA YA KIONGOZI HUANZA PALE ANAPOZUNGUKWA NA WATU WANAOOGOPA KUMWAMBIA UKWELI.💪🏿✍🏿
  3. Mshana Jr

    Umuhimu wa kuomba Mungu akupe washauri kwa ajili ya maisha yako na kazi unazofanya

    💪🏿🙏🏿✍🏿 MAAMUZI MABAYA YA KIONGOZI HUANZA PALE ANAPOZUNGUKWA NA WATU WANAOOGOPA KUMWAMBIA UKWELI.💪🏿✍🏿
  4. Mshana Jr

    Umuhimu wa kuomba Mungu akupe washauri kwa ajili ya maisha yako na kazi unazofanya

    Nguvu na au kuifanya upya pale ambapo imeinama au umechoka.Kuna mahali unaweza kupita na usipate hata nafasi ya kuamini kwamba kuna msaada mwingine zaidi ya msaada wa Mungu.Zaburi 23:3-4 Lakini yeye Mungu akishakuhuisha anakuongoza katika njia ya kwa ajili ya jina lake.Kwa hiyo sio kila jaribu...
  5. Mshana Jr

    Africa history made (Marejeo)

    Tokyo, October 1964. The athletes of Northern Rhodesia, a British colony in southern Africa, march into the opening ceremony under that name. While the Games are running, back home the colony becomes independent. On 24 October 1964, the day of the closing ceremony, it is renamed Zambia. So the...
  6. Mshana Jr

    Mada maalum ya ndege toka FB

    Ndege mbili za abiria za kampuni za Air France na American Airlines zimenusurika kugongana angani muda mfupi baada ya kupaa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles (LAX), nchini Marekani. Ndege hizo, Air France AF028 aina ya Airbus A350-900 iliyokuwa ikielekea Papeete, na American...
  7. Mshana Jr

    Mada maalum ya ndege toka FB

    Ndege binafsi aina ya Gulfstream G550, iliyohusishwa na mfanyabiashara marehemu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, imeripotiwa kurejeshwa Basel, Uswisi, baada ya kuibuka kwa madai kuwa ndege hiyo ilikuwa imekodishwa badala ya kumilikiwa binafsi na marehemu. Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na...
  8. Mshana Jr

  9. Mshana Jr

    Changamoto katika ujenzi: Mafundi uchwara wanavyoharibu kazi

    https://www.facebook.com/share/v/1DtKt8vRyL/
  10. Mshana Jr

    Mada maalum ya ndege toka FB

    ZHUKOVSKY, URUSI – Ndege ya kihistoria ya usafiri wa abiria ya mwendo kasi wa juu zaidi ya sauti (Supersonic Transport) Tupolev Tu-144D yenye namba ya usajili CCCP-77115, inafanyiwa ukarabati na kurejeshwa katika hali nzuri kupitia mradi unaoendeshwa na watu wa kujitolea katika Uwanja wa Ndege...
  11. Mshana Jr

    Mada maalum ya ndege toka FB

    Ndege aina ya Airbus A350-1000ULR imeweka rekodi ya Guinness World Records baada ya kuruka umbali wa kilomita 23,155 (maili 12,503) bila kutua, kutoka Melbourne, Australia hadi Toulouse, Ufaransa, ikitumia saa 24 na dakika 24. Safari hiyo ilifanyika wakati wa majaribio ya mradi wa Project...
Back
Top Bottom