Recent content by Mshabiki

  1. M

    Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Nchi ikiongozwa na giza mambo hayo yatatokea. fikiria swala la albino!!!!!!!!!Tunahitai maombi ya kwelikweli.Siku hizi ma askofu namanabii na mitume kibao kama ni waukweli wakemee hayo mambo.
  2. M

    Thanks God for Giving us Kikwete

    Mungu anapanga kila kitu na ana makusudi yake. Alimuweka JK kuwa Rais kwa makusudi kabisa sasa tuyasubiri hayo makusudi. Kuna kitu anataka kutuonesha. BWANA ASIFIWE
  3. M

    Changamoto kwa Waandishi wa Habari: (Mwandosya & Mwakyembe Kuundiwa Mzengwe)

    Wote tunajua vita anavyopata Mwandosya Mbeya.vita hivyo vimepandikizwa na mafisadi kwa kutumia vijisenti kwa watu wa Mbeya.Kama wiki tatu zimepita kulikua na article kwenye Rai kuhusu Mwandosya kugombea urais mwaka 2010 lakini kwasababu ilikua ni uzushi chunguza alioandika ile article yuko wapi...
  4. M

    Apson: The Beginning of TISS's Failure

    TISS walihusika na kifo cha Kombe
  5. M

    Mwenyekiti Kamati ya Richmond akatiwa maji

    mimi nina shaka kama kweli Mwakyembe aliunganisha maji kinyume inawezekana kuwa siasa ya wana Fisadi imeingia kati. Maana DAWASCO wakati fulani ilikuwa chini ya Fisadi fulani.
  6. M

    Apson: The Beginning of TISS's Failure

    Hapo Bwana Nungwi umepotosha na mawazo yako ya Apson kum support Mwandosya. Fanya home work uone huyo jamaa yuko upande gani?Chunguza pia uraia wake halisi
  7. M

    Chenge ajiuzulu!

    Nilijua atajiuzulu then what?Vijisenti atarudisha? JK ajufunze kusikia la mkuu.Who next out of JK 11!!!!!!!!!!!!
  8. M

    TAJENI majina JF

    Kutokutaja majina ni majungu
  9. M

    Hold on a minute! Mtu na shemeji yake

    Muungwana ana mke mburushi labda kuna ukweli kwenye ndoto ya Mwanakijiji
  10. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Nakubaliana na Tundamne kwamba usalama wa taifa ni Fisadi number one.wameshiriki katika ufisadi mwingi pamoja na kuiba kura za CCM
  11. M

    Ze Comedy aka Orijino Comedy: Mwendelezo

    Wana JF Kweli ni vyema Ze Comedy ktania sura za watu hasa viongozi wa juu? Naomba maoni.
  12. M

    Siasa za Mbeya 2005-2010

    Siyo siri huyo bwana mkubwa wa Mby alipewa zawadi huko Mby na aliwekwa kwa kazi maalum kumumliza prof.Mwakyembe mbaya wake na mshabiki wa prof.Uliza watu wa Mby hakuna cha maana alichofanya mkoani so far.
  13. M

    JK mawaziri wawili wanatuchefua unaweza kuwafanyia namna????

    Bwana kizito data zako kuhusu pro siyo sahihi fanya uchunguzi zaidi utakuta mengi ni majungu ya siasa.kilichomutoa prof Nishati na Madini muulize boss wako atakueleza.
  14. M

    Lowassa kujitoa CCM?

    Lowassa ni mmeru jina lake Ndossi.Ole Naiko ni mmeru jina lake Kitomari
  15. M

    Wezi wa BoT - EPA warejesha bilioni 50 hadi leo

    Mnashangaa nini vitu haviendi, RA, EL na JK kitu kimoja.
Back
Top Bottom