Mi niliposoma kwenye Mwanahalisi kwa mara ya kwanza hata harufu ya udini haikunijia mpaka huyu lofa alivyoandika humu. Atakuwa amerogwa ni mdini wa kutupwa kwani Edward Lowassa na Fred Lowassa nao waislamu?? Fikiri kwa kutumia kichwa sio makalio.
Kama hii ndo akili ya viongozi wenu wa dini mmekwisha!!! Lowass anavyoambiwa fisadi nae ni muislamu?? Chenge ni fisadi hata kama mkristo. Au JK kawapeleka Mramba,Yona na Mgonja mahakamani sababu ni wakristo??
Tumezidi kuwanyenyekea wanajeshi utafikiri Miungu-watu,hawajui hata maana ya kujiuzuru!!? Hata unaposhindwa kusimamia ueledi inabid kujiuzuru. Je,waziri wa Rwanda kujiuzulu sbb ya ngono ni siasa??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.