Recent content by msegeju

  1. M

    Nani anavujisha mikataba ya siri inayosainiwa na Serikali ya Tanzania na Waarabu? Lengo lake ni nini?

    Zimbabwe walipiga kelele wafukuzwe WAZUNGU na mashamba wapewe wao....walipokabidhiwa wakawa WANAPIGA NGOMA NA KUNYWA KOMONI....uchumi chali [emoji1787][emoji1787]
  2. M

    Kanyonga watoto na yeye kujinyonga

    Kweli hakuna kama mama ,kazi yake anasaidiwa tu Ila ni ngumu
  3. M

    Kumbe Dk Hamisi Kigwangalla ana CV ya kutisha!

    Cv zinazozaa matunda kwa kuhudumia jamii na Taifa ndio zinahitajika
  4. M

    Siri ya Kikwete TRA yaanikwa

    Hatariii
  5. M

    Slaa amerejea nchini

    Hawa ndio wasomi tuliotegemea wataweka maslahi binafsi na maisha binafsi kando ili wawe na watoe mfano kwa Taifa ,but I doubt
  6. M

    Jk aongoza maziko ya shekh yahya hussein

    Ni mtu maarufu,ni raia wake na sasa yuko mbele ya Mungu,naona si vema sisi kumhukumu wala kuhukumu wanaohudhuria mazishi yake.Ana ubaya na uzuri wake ila historia itahukumu
  7. M

    Mareheme Sheikh Yahya alikuwa noma

    wazee wa zamani hao bwana usishangae
Back
Top Bottom