Recent content by Msafa

  1. M

    Mvuti pakoje kibiashara, kilimo na maisha kwa ujumala?

    Safi sana mkuu. Pambana ulipe deni. Baada ya miaka miwili au mitatu hela na faida inarudi juu.
  2. M

    Mvuti pakoje kibiashara, kilimo na maisha kwa ujumala?

    Hahahaha. Niliona watu wanalalamika ndani ya muda mchache vimeisha.
  3. M

    Mvuti pakoje kibiashara, kilimo na maisha kwa ujumala?

    Vipo sehemu gani toka pale mvuti center?
  4. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Niwatakie mapambano mema. Mimi naachanq nayo.
  5. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Normal transfer.. Nilipata barua ya nafasi wazi nikaweza kwenye mfumo na vielelezo vyote.. Ila ndiyo hivyo.Naachana nayo. Kama kupambana nilipambana sana.
  6. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mimi taasisi ya kawaida tu nilitaka career Development na kuhama mkoa. Pay 1.5M. No posho posho.
  7. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Nakubaliana na wewe. Na mimi baada ya miezi 8 ya kusubiri nimekula Rejected. Hakuna uthibitisho wa nafasi wazi. Japo nilipambana sana. Nafasi nilipewa. Kule nilipotaka kuhamia wanashangaa.
  8. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hahahahaha. tuendelee kuomba Mungu. Siku nikipata nitawapa feedback.
  9. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Waligoma kusema lini.. Zaidi ya kusema kasubiri. Wakati nimetuma maombi nilijua baada ya miezi 3 majibu tayari. Nilipaki kabisa mabegi. Destination organization tunawasiliana vizuri wanipa moyo itatik.
  10. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mimi ndiyo nakwambia mkuu inaenda miezi 8 sasa bila bila. Kama mdau aliyesema hapo juu yeye alipata baada ya miezi 8. Nishafanya mawasiliano nao walisema nisubiri.
Back
Top Bottom