Ulichosema Ni kweli na kina mantiki Sana! Mpaka Sasa hii ni kero kubwaaaa Sana kwenye MUUNGANO wetu!
Wanzanzibar wanaruhusiwa kupata na kumiliki ardhi kwa ukubwa wowote huku bara, wanaruhusiwa kujenga na kufanya watakalo lakini watanganyika haturuhusiwi kumiliki ardhi wala kujenga Zanzibar...
Rwanda hakuna kelele kwasababu Paul Kagame ana akili,,,, usidhani ameingia nao mkataba wa ovyo Kama wa huyu Mama!!
Usimfananishe Kagame na vitu vya kipuuzi..!!
Na sio Rwanda tu hata uingereza Dp world wapo, tatizo sio kuwepo nchi fulani,,, tatizo ni mkataba wa ovyo!! Uingereza na Rwanda wana...
January Yusuf Makamba ameharibu sana Tanesco ,,,
Na huyo mwenzake Maharage Chande kwakeli ndio Maharageeeee kabisaaaa!!
Naona mama samia ameshaona hali halisi na amekubali kushindwa kwa watoto pendwa wake wakina Makamba,,, mpaka kuwarudisha sukuma gang kazini wakina Doto Biteko maana yake...
Mbona hata Uganda wana mpango Kama huo?! Kenya nao nikisikia wanapanga kujenga vinu vya kinyuklia sijui mpango wao unaendeleaje?!
Tanzania miaka Fulani ya nyuma kupitia bodi ya kuthibiti mionzi ya kinyuklia Kama sikosei , walikuwa na mpango Kama huo kujenga kinu Cha kinyuklia wakisema...
Homera huwa ana mihemko sana, fuatilia historia yake hapo mbeya utagundua kitu,
Huu ni uonevu, posho za wafanyakazi hao ziko kisheria yeye Kama mkuu wa mkoa kafuata sheria ipi inayomruhusu kuchukua posho za watu na kupeleka kwenye miradi ya kiserikali?!
Anataka aonekane mzuri kwa Rais kumbe...
Safi kabisa,
Siku hizi nimeona heri hata nitoe kwa yatima, wagonjwa mahospitalini, masikini wenye uhitaji mbalimbali, wajane maskini na hata wafungwa magerezani,,,!!
Kuliko hawa wanaotoza hela nyingi sana huku wao wanaenda kujenga majumba ya kifahari na kununua magari ya gharama kubwaaaa...
Sasa si bora wewe Mkatoliki uliambiwa utoe hiyo 25,000/=
Mimi Mlutheri (KKKT), niliambiwa mwanangu atoe 70,000/= ili aweze kupata kipaimara mwaka Jana, nilishangaa Sana!!!
Nikahoji hiyo elfu sabini yanini?! Kwani kupata kipaimara ni biashara?! Wakajibu atapewa biblia Kama zawadi?!
Sawa...
@Mshana Jr mtani wangu, natamani sana iwe hivyo! Natamani tuone mahakama inakuwa huru kama mahakama na kutoa hukumu kwa haki na uhuru!
Tuendelee kumuomba aliye juu ya vyote, huenda tukaona maajabu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.