Recent content by Mrisho Abdallah

  1. M

    Shukrani ya wa KENYA ni hii

    Ni vizuri mkaelewa kuwa siku zote anaye malizia jambo ndio hukumbukwa zaidi. Kwa hiyo kwa vile Kikwete ndiyo amemalizia basi ndio watu humkumbuka na kumsifia yeye. Hiyo ndiyo hulka ya mwanaadam.
  2. M

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Mie kwa maoni yangu Zitto kuondoka kwenye Chama si hoja sana. Chama hakijengwi na watu peke yake bali vilevile sera za chama huchangia kwa kiasi kikubwa. Akiondoka yeye sera zitabakia atakuja mbadala wake ambaye atakuja kutekeleza hizo sera. Mie nadhani sera ni muhimu zaidi kuliko mtu mwenyewe.
  3. M

    Jenerali Ulimwengu na makala zake

    Ni kweli kuwa Jenerali ulimwengu amesema kweli kuhusu falsafa nzima ya uongozi halisi wa nchi hii. Mie napenda kumpongeza kwa hilo na kwa ushujaa alio uonyesha. Nadhani wasomi wa nchi hii wana la kujifunza kutoka kwake, na nina jaribu ku-imagine kama Pro. Chachage angekuwa hai, hapo mlimani...
  4. M

    Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

    Mambo gani yatakayowakuta? lakini nadhani sheria itafuata mkondo wake na sheria nadhani itashinda.
  5. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Ahsante Jembajemba Mie niko contraversial kidogo kwako. Sidhani kama Karume kweli na wenzake walikuwa na uchu wa madaraka. Ila nionavyo mie kwa hali ya wakati ule ilibidi jambo la Mapinduzi lifanyike kwa kuwa waliokuwa wengi, I mean Africans hawakupewa uhuru wa kuamua yale watakayo bali...
  6. M

    Hotuba za Rais kila mwezi

    Nadhani suala la hotuba ni la utashi wa rais mwenyewe kujua anataka kuongelea jambo gani. Hebu tufikirie JK alikuwa Waziri wa Mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa kwenye kipindi cha mkapa kwa miaka 10, na alikuwa mwakilishi mzuri tu wa Rais kwenye vikao vya nje kiasi cha kwamba mkapa...
  7. M

    HakiElimu vs Govt: The saga

    Kama wachangiaji wengine walivyoeleza si lazima sana kuwa na mtoto kwenye shule za serikali ndio uwe na uchungu wa elimu yetu, kwa kuwa yeye ni mtanzania anayo haki ya kutoa maoni yake pale anapoona kuna kasoro. Na huu ndio moyo tunaotakiwa kuwa nao kama watanzania pindi tuonapo kuna kasoro...
Back
Top Bottom