Recent content by MrBiggs

  1. M

    Nyumba inapangishwa

    Nyumba inapangishwa,ipo Mabibo,4bedroom master inclusive,jiko na store yake,sebule na dining,parking ya magari zaidi ya matano,kisima cha maji chumvi na maji ya Dawasco yanapatikana,umeme full time.bei(laki5 kwa mwezi)0713698405
  2. M

    Nahitaji nyumba nzima ya kupanga bei isizidi 250,000/=

    Kuna nyingine maeneo ya mabibo,ina vyumba 4,kimoja master,choo na bafu,jiko na store yake,ina maji ya bomba na maji chumvi humohumo,na fensi na parking ya maana tu yenye geti kali na la kisasa inatakiwa laki 5tu maongezi yapo.0713698405
  3. M

    BAJAJ YA MILION MOJA(Tsh 1M)

    Mimi mwenyewe nauza TVS KING yangu kwa 3.8MIL Bado mpya(T....BME):0713698405
  4. M

    Toyoya Super Custom Vs Noah

    Nunua Noah,super custom zina turbo kwa hiyo ulaji wake wa mafuta ni mkubwa kuliko wa Noah.
  5. M

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Kilangi Lufulondama Nteminyanda-MAJENGO SEC
  6. M

    Email au namba ya simu ya afisa usalama wa taifa

    *101*0713698405*namba ya vocha ya sh.10,000/=# nafikiri hapo utakuwa umempata usalama wa Taifa.
  7. M

    Kwanini wanawake hawapendi kusema umri wao?

    Na sio wanawake tu,hata wanaume wapo hivyo,utakuta mwanaume anasalimiwa anaitika poa sasa shikamoo na poa wapi na wapi?
  8. M

    The mother of all diets

    Sambusa inatafutika,au hujui kuna alot of style,kama vile mbuzi kagoma n.k
  9. M

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Punyeto inamaliza nguvu za kiume,inamaliza nguvu za mikono na miguu,vinyama kwenye macho,kupoteza kumbukumbu kwa kuathirika kwa ubungo,uzembe na kutokufikiri vizuri,Punyeto inakufanya kutojiamini unakuwa mtu wa aibuaibu tu.Haya ni baadhi tu ya madhara ya punyeto yapo mengi tu zaidi ya milioni moja.
  10. M

    Watu hawa ni hatari kwa mkeo/ mchumba/ girl friend

    Kuna muuza maji,kwenye maeneo ambapo maji ni ya shida.
  11. M

    Nauza gari yangu

    Hata mimi nauza TVS KING yangu bado ipo poa sana.Mawasiliano:0713698405
  12. M

    Tujifunze lugha yetu-flash back

    Mimi nakumbuka ile hadith ya kibibi mtu.
  13. M

    shindalo la kumsaka bingwa wa kusahau

    Mimi mwenyewe nimesahau kama navaa nguo au navua.
  14. M

    Darasa la kutongoza kwa wanaume

    Kwa kawaida wanawake wamezoea kudanganywa,sasa kama ukimtamkia ukweli kama vile nakutamani yeye anaona bado ujampenda kiukweli kwa hiyo ni lazima uingie na gia kama nikilala nakuota,nikinywa maji nakuona kwenye glasi nafikiri hapo ndio utampata kirahisi.
Back
Top Bottom