Mkuu kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri sana ya kutuhabarisha kwa yanayojiri mjini Dom ,hususani nyeti za kikao cha NEC.Kwa kweli tangu ulipoanza kututonya nyeti hizo, kila mara nimekuwa na shauku kubwa ya kufuatilia kwa karibu sana upekuzi wako huo.Kazi nzuri sana mkuu!
Hatahivyo,nimeshtushwa...