Recent content by Mr Slim

  1. Mr Slim

    Waziri mkuu anatumia nguvu nyingi kuaminisha umma kuwa anafanya kazi ila mpaka sasa mwaka na zaidi nani kaona jambo kubwa amelifanya!?

    Mi naona kwa Tanzania waziri mkuu, makamu wa raisi n.k ni Rais mwenyeww! Hawa jamaa hawana "neno" lolote lenye kuweza badili upepo wa hali ya watanzania ila kwa neno toka kwa Rais, ukienda tofauti yanakukuta ya Nchimbi. So utendaji wake utaonekana kwa urefu wa kamba aliyopewa na Bosi wake kimaamuzi.
  2. Mr Slim

    Hivi Kuna umuhimu wa kujenga ukweni?

    Duniani tunapita tu...
  3. Mr Slim

    Cons of Watching pornography and masturbation

    Hii dunia aisee...hata kunywa maji kuna madhara...soda madhara...pombe madhara...nyeto madhara....sex madhara....n.k. yani kutishana tishana tu.
  4. Mr Slim

    Ndugu Nassib amkiri Yesu kua Mwokozi wa maisha yake

    Sometimes busara ni kukaa kimya tu...
  5. Mr Slim

    Rais Samia kuhudhuria mkutano wa COP31 nchini Uturuki

    Na mgongo pia nadhani ulishajeruhiwa.
  6. Mr Slim

    Uthibitisho wa maisha baada ya kifo. Hawa watu walikufa, wakazaliwa tena, kisha wakayakumbuka maisha yao yaliyopita

    Sasa kama kinachotunza kumbukumbu ni ubongo ambao mtu anapokufa nao pia uwa unazima...so roho tu inawezaje kukumbuka yote hayo au ina ubongo wa kiroho? Kuna mtu hapo juu kasema perhaps ubongo ni receiver tu inaweza kuwa kweli.
  7. Mr Slim

    Wanawake wengi wa Tanzania ni omba omba

    Hamna...inaonesha kumuomba omba shetani matunda ilikua ni daily, Akachoka akawaingiza chaka.
  8. Mr Slim

    Wanawake wengi wa Tanzania ni omba omba

    Sirudii tena kulalamika , nitakuwa natoa tu....maana nimekumbuka hako ka scene nimesisimka sana.
  9. Mr Slim

    Wanawake wengi wa Tanzania ni omba omba

    Hiyo scene ya ikichomoka anavoishika haraka kuirudishia ni hatari sana kwetu wanaume...you won.
  10. Mr Slim

    Wanawake wengi wa Tanzania ni omba omba

    Sawa...na nyie ikikosea njia msilalamike
  11. Mr Slim

    Wanawake wengi wa Tanzania ni omba omba

    Sio Tanzania tu mkuu...Jamaa zetu kama wa Ghana huko ndio shida kweli...uwa naona jamaa wanavoenyeka nao...ni asili yao kuomba omba, ona walimwomba mpaka shetani matunda, wakatuletea shida tu.
  12. Mr Slim

    Tupunguze stress la lissu

    Man u haitoi ute mweupe, inaliwa sana
  13. Mr Slim

    Tupunguze stress la lissu

    Mafiati pale...nimewai pona kwenda centro
Back
Top Bottom