Nani anaejichanganya ni mimi au wewe (nyinyi). Nilijua focus ni TZ, sasa mbona unataka kwenda Kenya, Zimbabwe.
Umechanganya mambo mengi sana. Anyway, naona unagree kwamba Kilimo kilishindwa kukamilisha agenda za Mzee Nyerere.
Also, kuhusu kudevalue shillings, naona umechanganya mambo. Unasema...