Recent content by Mr Kipe255

  1. M

    Mfumo wa E-Malalamiko husaidii Wananchi.

    Kuna huu mfumo E malalamiko serikali umeanzisha vizuri yaani mwananchi au mtumishi mwenyewe anaweza kuutumia kulalamikia jambo lake ,upo katika Kila Wizara, Mkoa na Kila Taasisi ya Kiserikali. Lakini utabaki kutuma malalamiko yako huko unakaa zaidi ya miezi Sita hata kujibu sawa tumepokea...
  2. M

    Jumaa Aweso waziri wa maji: Malalamiko dhidi ya Mtuwasa kuto kulipa vijana wasoma mita za maji kwa zaidi ya miezi mitano

    Ndugu Kiongozi, Sisi ni Kikundi cha Vijana wa Kusoma Mita za Maji katika Wilaya ya Mtwara, kilichosajiliwa kisheria na Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani chini ya Ofisi ya Mkurugenzi. Kikundi chetu kilipata fursa ya kuidhinishwa na Mamlaka ya Maji Mtwara (MTUWASA) kutekeleza kazi ya...
  3. M

    Kama biashara yako ipo kwenye hii list halafu huna website, unawapoteza wateja kila siku!

    Je waweza kutemgeneza application ikawekwa google play store?
  4. M

    Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    Ndo hvyo tunaenda mkuu hatuchoki sababu cye ndo tunashida bana japo wengne ada tumezkusanya miaka kwa shida still tunasumbuka bado duhh
  5. M

    Transfer TCU leo jioni

    Na kama mtu anaona wamechelewa kujibu akaamua kujisajili chuo alichokubaliwa mwanzo sababu vyuo vngne vmeeanza masomo je akitokea amebahatka kuhamishwa chuo ni lazma ahame chuo cha kwanza?
  6. M

    Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    Kila mtu akienda anapewa jibu lake mara j5, mara alhami sasa leo ijumaa cjui tukienda leo watasema jpili!!!
  7. M

    Majibu ya Transfer yanatoka lini?

    Na kama umeenda chuo ulichochaguliwa mara ya kwanza na transfer zikatoka umehamishwa, je ni lazma kuhama au unaweza baki chuo hicho ulichojisajili?
  8. M

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Mi nawaomba yawe ya amani ili yasije yakatokea mengine mabaya na kwa hao mnaowafata wasijifanye wao ndo wao wasikilize hoja na wajue jinc ya kutatua tatzo cyo kujenga tatzo lingne kubwaaa
  9. M

    Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    Jaman msikae mkasubiri.muambiwe huku jf. Una nguvu na uko mjini nenda ofisi za TCU direct. Ohooo mtu anapatajibu leo ww utajulishwa kesho kutwa too late.
  10. M

    Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    Yan ww kumbe una tcu yako. Sasa zile available slots za nn kama wanahamisha course hyo hyo!
  11. M

    Kuhusu University of Iringa

    Tena kwa mkazo wamesema tusiporipot jtatu ndo tumejiondoa. Binafc nimepangiwa community devlpnt but nimeomba transfer so sijui hatma yangu
  12. M

    Naombeni ushauri wenu

    Samahan wakuu inamaana siye tulioomba kwa kuangalia available slots cyo rahic kupata ni mpaka uende chuoni kuulizia, sijaelewa naomben ufafanuzi ndugu
  13. M

    Nahitaji Ushauri ndugu zangu

    Nenda ict una uhakika wa kupata,ajira hrm unaweza ukazunguka na bahasha za aina zote
  14. M

    TCU na NACTE kuna uhusiano kweli

    Naomba ushauri. Nimechaguli iringa university na wanafungua j3 na ataeshindwa kuripoti j3 amejiondoa mwenyewe chuo na mm upande wa pili nimeomba nihamishwe chuo je nifanyaje sababu nkienda kuripoti j3 na ada lazma nlipe, je kuna anaejua majina yatatoka rasmi lin kwa wale tulioomba transfer?
Back
Top Bottom