Recent content by Mpwimbe

  1. M

    Sioni kufanikiwa kwa maridhiano ya Samia na vyama vyake vya mfukoni iwapo kanisa kwa mwavuli wa TEC, CCT na CPTC linaunga mkono msimamo wa CHADEMA!

    Mshauri wa Samia kwasasa ni ABDUL, HAJI OMAR KHEIR na MSHEIKH wa BAKWATA. Wote hakuna mwenye akili hata ya kuvukia BARABARA.
  2. M

    Ili kukomesha udini nchini na kujenga taifa imara, napendekeza haya...

    Uovu. Intabia ya mtu, hata ajiite Mufti. Dini na utu ni vitu viwili tofauti. Malasusa na Bagonza wote wako dhehebu moja. Mmoja anatetea utu, mwingime pesa mbele. Gwajima na Mwamposa wote dhehebu moja. Mmoja anatetea utu, mwingine anaabudu pesa za wanasiasa.
  3. M

    Ili kukomesha udini nchini na kujenga taifa imara, napendekeza haya...

    Huu ni ujinga wa wapi? Hutaki.mambo ya dini, jambo ni rahisi tu. DINI ni Jambo binafsi, halirakiwi.kubusika kwenye masuala yoyote ya nchi. Msahafu wa nchi ni KATIBA.
  4. M

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Shere it here. Sisi tuta-share hata ya Sumbawanga. Airport siyo hidden thing.
  5. M

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Unfiltered realities
  6. M

    Kiongozi wa CHADEMA, Rose Mayemba aomba hifadhi UNHCR

    Kwasababu watauliwa. Ingawa najua hata wewe UTAKUFA.
  7. M

    Kiongozi wa CHADEMA, Rose Mayemba aomba hifadhi UNHCR

    Twaha Mwaipaha Kikosi cha ABDUL wa Samia kimeshamuua. Pesa za UMMA, zinatumika wameweka KIKOSI Kenya kuwinda na KUA watu wasio na HATIA.
  8. M

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Punguza KULA MIRUNGI ujenge hoja. Huu ni uzi wa hoja.
  9. M

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mnapoteza sana muda na huyo Jareer Gabachori. Hayupo hapa kwasababu ya hoja.
  10. M

    STATEMENT

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Allah Sa.ia mfoa roho oyeeeeeeee. Tumswalie Mtume Abdul Hafeidh.
  11. M

    Kama Tunataka Taifa Lipone, Samia Amwombe Msamaha Lissu, Awaombe Msamaha Watanzania

    Allah Samia mtoa roho oyeeeeeeeee Tumswalie Mtume Abdul.
  12. M

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Moja kwa moja, kupitia ESS haiwezekani. Loan restructring na Loan Take over hazifanyi kazi.
Back
Top Bottom