Recent content by Mputi

  1. M

    Chemsha bongo hii noma jibu plzzz!!

    Umekuta nguo inauzwa 10,000 ukaenda kwa dada na kaka yako kila mmoja akakukopesha 5,000, ulivyokwenda kununua nguo ukakuta bei imepungua inauzwa sh 9700, ukarudishiwa 300, ulivyorudi home ukaamua kupunguza deni, dada ukampa 100 na kaka 100, sasa dada anakudai 4900 na kaka 4900 jumla unadaiwa...
  2. M

    Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

  3. M

  4. M

    Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

    Hongera kaka, watu wengine ni vilaza tu, wanachokijua wao ni kukosoa tu, kazi nzuri mkubwa!!
  5. M

    Hat trick

    Wkubwa naombeni mnijuze sheria inasemaje hapa, inakuaje pale wachezaji wawili au zaidi wakapiga Hat trick katika mechi moja? mpira anapewa nani?
  6. M

    Hebu jaribu hii.

    e bwanaeee zinakuja snow kweli mfaza!!! daaaah!
  7. M

    Cool hp pro for sale

    weka picha mfaza!
  8. M

    Rav 4 inauzwa

    gerald@webtechnologies.co.tz
  9. M

    Nokia n900 brand new for sale

    Habari wakuu, nokia n900 brand new, 32 GB 256MB RAM, Card slot: Micro SD up to 16GB, GPRS class 32. speed: HSDPA,10Mbps, HSUPA 2Mbps wi-FI, camera: 5MP, 2576 X 1936 pixel. Bei inauzwa laki 6 na nusu, dukani wakubwa inauzwa laki 9 wazee, hii kitu brand new kabisa, if ur interested nicheki...
  10. M

    Nokia n900 brand new

  11. M

  12. M

    nasaka mrembo wa kutoka naye this weekend <18-22years of age>

    Nenda pale kimboka buguruni wapo wa ukweli xana kaka!!
  13. M

    Hili ndilo balaa la mapenzi

    Mdada sio kumponda huyu kaka, upofu wake ni kwa ajili ya mapenzi ya dhati aliyokuwa nayo kwa huyo dada, cha msingi hapa ni kumpa ushauri jinsi ya kukubali hali halisi na kusahau na sio kumwambia anachekesha, cha kuchekesha kiko wapi hapa!!?
  14. M

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Mfaza umri sio tatizo point ya msingi ni upendo wa dhati baina yenu, ndoa ina mambo mengi kaka upendo wa dhati ndio utakaokuwezesha kuvuka changamoto zote, kaka nilishawahi kumwacha bint kwa sababu ya kuwa na umri sawa sasa hivi najuuuuta kama sio kulia!!
Back
Top Bottom