Recent content by MPUMBWI

  1. M

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Hizo ndo mahakama za tanzania mtu alie pigiwa kura huvuliwa madaraka yake kwa kura yakutokuwa na imani nae kama mahakama ilimpigia kura lema basi wanahaki yakumvua mwalimu jk nyerere alisema kuwa viongozi wa nchi wasipoheshimu utawala wa sheria wakawa wanatoa maamuzi kwa matakwa yao na sio kwa...
  2. M

    NEC ya dharura Dodoma kishindo gani?

    Ccm hawana jipya la kujadli nimewachoka hakuna cha moto matokeo ya mgomo wa walimu yameleta madhara makubwa kuliko ule wa madaktari oneni matokeo wakiweza wajadili hilo je ni vema kubeza taaluma za walimu kwakutowalipa mishahara itakayowawezesha kukabili changamoto za maisha kwa sababu raia...
  3. M

    Mishahara hiyoooo dirishani soma hii

    Please our leaders may you stop non sense things.siku zote serikali corrupt haiwezi kusimamia mapato na matumizi ya nchi mwaka uliopita lilifanyika zoezi la kuhakiki taarifa za watumishi wote nchi nzima leo bado malipo hewa yanafanyika mheshimiwa jk pamoja na timu yako msiwasumbue watumishi...
  4. M

    Aisee kumbe ni sahihi kulipwa kwa dowans

    Ok wakuu inaonyesha dowans inailikiwa na zimwi lisiloonekana na waliosaini mkatababa ndio wezi namba moja wafilisiwe kuvua magamba haitoshi na haiwasaidii wananchi kuachia ngazi kwa lowasa na kuvunjwa kwa baraza la mawaziri hakumnufaishi mwanainchi ila walio husika wakifilisiwa pesa hizo ndo...
  5. M

    Tanzania Tycoons List...

    Ok wakuu waliotajwa hapo wote sehemu kubwa ni mafisadi kama vile mzee wa vijisent ,lowasa na wenzake wamewaibia watanzania na ndio wafadhili wa ccm kwa sehemu kubwa naona mjadala uwe juu ya namna ya kupata utajiri ulio wa halali maana wengine makampuni yao yanaendeshwa na majini na wengine...
  6. M

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    Umasikini wa watanzania ni mtaji wa ccm kwakuwa wanaweza kuwa rubuni kiurahisi kwa rushwa ipo siku mungu atawaumbua la sivyo wabadilike hivi mpaka sasa halimashauri ya wilaya kilombero mishahara haija toka kwanini au ndo zilipelekwa igunga wakapewa wagambo wagawe kwa watu kama yule alie kamatwa...
  7. M

    GE2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

    Hata mimi sipendi hali hiyo ya mtu kutoa rushwa na polisi pamoja na usalama wa taifa wanaangalia tu ndio maana leo asubuhi nilisema tusiwaamini sana vyombo vya usalama tujiridhishe kwa kila jambo mtu kama huyo afadhali akatwe masikio maana hapendi amani na pesa zisipelekwe polisi afadhali wapewe...
  8. M

    GE2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

    Ok wakuu mliopo eneo la tukio endeleeni kuangalia kwa makini na kudhibiti vitendo viovu vinavyoweza kuharibu amani yetu angalieni hao wagambo pamoja na jeshi la polisi msiwaamini sana jiridhisheni kwa kila jambo ili mradi hamvunji sheria iliwanainchi wa igunga wapate haki yao ya msingi...
  9. M

    GE2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

    Uwe mwangalifu na taarifa zako si wakati wakusema nani kashinda saizi acha kumkaribisha shetani kwenye fikra zako atwm52 hiyo ni dalili ya utumwa mwombe mungu kwa kila jambo nae atakupa hekima tunahitaji amani hatuhitaji majungu amani ikitoweka hutapata muda wakusema hayo unayosema tumia muda...
  10. M

    GE2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

    Wakubwa mliopo eneo la tukio endeleeni kutupa habari angalieni movement zote zinazofanyika. Makarani wawe makini, 2010 nilisimamia uchaguzi huku Morogoro kuna wengine walikuja na shahada za marehemu chunguzeni kila kitu kwa uangalifu mara nyingine vyombo vya usalama hujifanya wako likizo kana...
  11. M

    GE2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

    watanzania tuwe na hofu ya mungu sasa si wakati wakulumbana ni wakati wakumwomba mungu ili uwepo wake udhihirike siku ya kesho wanao nia mabaya wafedheheshwe na warudishwe nyuma haki yako mungu wetu ikatendeke uwaonyeshe njia wanaigunga na watanzania kwa ujumla. Mkuu mtazamo wangu juu ya...
  12. M

    GE2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

    Sasa ni wakati watanzania wakumwomba mungu ili kura za watu watakao piga kura zihesabiwe kwa usahihi bila kuibiwa wala watu kurubuniwa juu ya nani wampigie kura. Mungu onyesha njia tunaamini sauti ya wengi ni sauti yako mungu wetu ulie umba mbingu na nchi uwaonyeshe wanaigunga kiongozi atakae...
  13. M

    Viongozi CHADEMA wapigana na Mgombea wa CUF Nandekwa

    Tujitenge na uongo tutakuwa huru ikiwa mkuu umetoa taarifa ya ukweli mungu akubariki na ikiwa umechakachua utatoa hesabu ya matendo yako mwisho wa siku naamini kuwa wana jf tukotayari kusema ukweli daima na kuielimisha jamii vizuri tuwe chanzo cha mabadiliko taarifa inayotolewa lazima ibalance...
  14. M

    Mwongozo wa utumishi wa umma

    Tatizo la mwongozo wa utumishi wa umma ni la wengi ikiwezekana tungepata walaka uliopo kwa sasa
  15. M

    Mwongozo wa utumishi wa umma

    HALLO GERRADI NAKUSHUKURU KWA KUMPA MWONGOZO NDEBILE MUNGU AKUBARIKI. NA MIMI NINATATIZO KAMA LA NDEBILE NILILIAJIIIWA MWAKA 2006 NA MWAKA 2008 NIKAENDA KUJIENDELEZA 2010 NIKAHITIMU KISHA NIKAMWANDIKIA BARUA  MWAJIRI WANGU YAKUOMBA KUBADILISHIWA MUUNDO/KAZI MAY 2011 AKANIJIBU KUWA...
Back
Top Bottom