Recent content by Mporipori

  1. Mporipori

    Kwa staili hii ya Sabodo naweza kabisa nikaamini CCM na CHADEMA lao ni moja

    Asante mtoa thread, Ulichosema ni kweli kabisa., CHADEMA kama hizi tuhuma sio za kweli basi tafadhali chukueni hatua.. Kuna hatari kubwa mtu mmoja kukifadhili chama kwa kiasi kikubwa hivyo. Itamfanya kuwa na ushawishi mkubwa sana katika chama na chochote atakachosema kitasikilizwa.. Atataka...
  2. Mporipori

    Dr Slaa vs Makamba

    dah., kumbe wote ni makatibu wakuu..? Shame on makamba...
  3. Mporipori

    Serikali yatoa pole kwa waliouawa Arusha

    nimerekebisha wakuu...
  4. Mporipori

    Serikali yatoa pole kwa waliouawa Arusha

    Habari hii hapa wakuu.. (source Mwananchi) Membe: Polisi walikiuka maadili mauaji Arusha Send to a friend Tuesday, 11 January 2011 20:57 0diggsdigg Hussein Issa WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema Jeshi la Polisi lilikiuka maadili ya kazi yao...
  5. Mporipori

    Serikali yatoa pole kwa waliouawa Arusha

    Kauli ya Membe kuhusu mauaji yaliyofanywa na polisi Arusha.., nini kinaendelea ndani ya serikali., ni sahihi kwa Mwema na Nahodha kuendelea kung'ang'ania madaraka..? Habari kamili.., Na Hussein Issa (Mwananchi 12/01/2011) WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe...
  6. Mporipori

    Wana JF wakutana india

    Well well, well done wapendwa... I wish to see the day nchi hii itakapopata uongozi unaostahili(unaojali wananchi) utakaowafanya ndugu zetu mliopo sehemu mbalimbali za dunia msukumwe kurudi nyumbani kuchangia katika maendeleo (+ve mabadiliko ya kiuchumi na kifikra) katika nchi yetu...
  7. Mporipori

    Tanzania inflation rises on food, fuel prices, heading to double digits?

    What can we do to correct this misleading information..? coz hata wawe wanatumia vigezo gani haiwezekani iwe inapingana na hali halisi kwa kiasi kikubwa hivyo..
  8. Mporipori

    Tanzania inflation rises on food, fuel prices, heading to double digits?

    Hata kama ni ya kupika kaka wamezidisha mno., nataka kujua ni basis gani wanatumia. Wadau tujuzeni..
  9. Mporipori

    Tanzania inflation rises on food, fuel prices, heading to double digits?

    Salaam wana JF., Tukia ngalia bei ya bidhaa nyingi Tanzania tokea mwaka 2005 zimepanda kwa kiasi kikubwa sana., nyingine mpaka kufikia mara mbili hadi tatu ya bei iliyokuwepo mwanzoni. Kwa mfano sukari imepanda kutoka sh. 600 mpaka 1800 kwa sasa 200%, mkate kutoka sh. 500 mpaka 1500 kwa sasa...
  10. Mporipori

    Nauli za daladala kupanda Dar

    Ila nadhani wananchi sio wa kuwalaumu sana coz waliwakataa bt wao wakafanya hila.. cjui ndio wanawakomoa..
  11. Mporipori

    Who is Mary Chitanda?

    I understand ur concern Michelle, bt napingana na maelezo yako niliyohighlight... Kwanza wanawake kama hao hawana independent minds Hawajiamini Wapo katika nyadhifa hizo kwa manufaa yao binafsi na hivyo hawafai Uwezo wao wa kufikiri utakuwa limited na...
  12. Mporipori

    MAUAJI ARUSHA: Tamko la Rais Jakaya Kikwete

    Katiba mpya lazima izingatie hili., Kiongozi akisababisha maafa ni lazima awajibike, ajiuzuru kupisha uchunguzi...
  13. Mporipori

    Nauli za daladala kupanda Dar

    Sipati picha hapa., nini wajibu wa serikali..? Nilidhani ni kutetea maslahi ya wananchi na kuplan for their better lyf bt under these circumstances.........
  14. Mporipori

    Nauli za daladala kupanda Dar

    Nimesikiliza mapendekezo ya nauli mpya za mabasi zikanistua sana, nikaogopa sana na kujiuliza nchi hii tunaelekea wapi..? Kumbuka kupanda kwa nauli hizi kutasababisha kupanda kwa bei za bidhaa karibu zote hapa nchini na sana sana mikoani kwa ndugu zetu ambao maskini wa Mungu kipato chao...
  15. Mporipori

    Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

    Salaam wana JF, Tumeshuhudia ya Arusha na mengine mengi kabla ya hayo, swali nauliza; Je, thamani ya wanajamii mbele ya polisi ni pale wanapowasaidia kuwakamata wahalifu tu?
Back
Top Bottom