Mkuu Happy Diwali Day...Sisi wa Upanga jana hatukulala - Hawa Wahindi Wamepiga sana hiyo Milipuko yao feki....Tena nimeona jina lako ni GANJIBHAAI (Wewe lazima ni KANJIBAI) - bila shaka na wewe utakuwa wa mitaa hii...Mimi niko karibu na kwa DEWJI Mkubwa hapa.......Mkuu acha kusema ukweli...
Pole sana Mkuu... Hapo uliibiwa mchana mchana....)walikuwa wanakula vyakula ambayo kwo hawali, au hata hawavijui (wanaangalia bei tu). Siku nyingine Usikubali kumlipia mtu chakula ambacho huwa kwao hawapiki na kula. Mwabie akajifunze kwao kwanza, ndio aje kwako umnunulie.
Wewe shangilia tu - ila ujue na uchumi wako unashuka pia. Uchumi wa mtu mmoja mmoja unashuka kwa watu kukaa nyumbani. Kuna watu wamejiajiri - sio waajiriwa kama wewe. Wenzako waliojiajiri - wakikaa nyumbani - pesa haiingii kama wewe ulieajiriwa. Sasa hesabu hizo siku ambazo mnafanya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.