Recent content by Mpakwa Mafuta wa Bwana

  1. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Heche akiitisha mkutano wa hadhara viwanja vya Mwembe Yanga, na Samia akaitisha mkutano siku hiyohiyo Tanganyika Packers Kawe, unajua nini kitatokea?

    Bado huyajui mambo haya wewe Mtoto wa Shule, fungua vitabu ujikumbushe masomo. Samia tangu achaguliwe hajawahi kuonana na wananchi. Yeye trip zake ni kwenye makambi ya Polisi, kambi za jeshi na kwenye kumbi za mikutano. Samia ni chaguo la vyombo vya ulinzi na usalama ndio maana hana muda na...
  2. Mpakwa Mafuta wa Bwana

  3. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Heche akiitisha mkutano wa hadhara viwanja vya Mwembe Yanga, na Samia akaitisha mkutano siku hiyohiyo Tanganyika Packers Kawe, unajua nini kitatokea?

    CCM watasomba kwa wiki nzima watu kutoka mikoa ya jirani na mbali, watawalipa posho, watalipiwa malazi na vyakula, kisha watapelekwa Kawe, lakini amini nakwambia maelfu hayo yatatiroka kuelekwa Mwembe Yanga kusikiliza neno TAKATIFU LA UKOMBOZI kutoka kwa Heche. Polisi wanajua hii aibu ni kubwa...
  4. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Naomba jina la mganga wa tiba asili maarufu anayeishi Gamboshi.

    Gono likipanda kichwani ni hatari kwa jamii nzima
  5. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Nimemuona huyu mnyama kwenye ndoto, anatisha sana, sasa naogopa kulala naona kama chumbani kuna watu wanatembeatembea

    Umejuaje kwamba hana mwanamume? Wanaume wana mambo mengi, huenda yuko kazini, au safari, au mgonjwa hospitalini, ama amechelewa tu kurudi. Msiwe wakurupukaji. Mnajidai mnawajua sana watu
  6. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Kama vikao vya Samia vya safari ya maridhiano ni kwa ajili ya manufaa ya taifa lote na sio wajanja wachache, virushwe live na TV zote nchini

    Kama haya maridhiano yana nia ya kuliponya taifa, kwanini hayahusishi waliijeruhiwa kwa mrisasi, waliopoteza ndugu zao, na hayawashirikishi Chadema? Kwanini hayarushwi live na radio na tv zote nchini ili nchi nzima tujue kinachoendelea? Je kama mnapanga kutupiga tena risasi? Kwa kweli hatuna...
  7. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Ni nani huyu mwenye matukio kama ya Yesu? Akipita watu wanakwea miti ili wamuone

    CHADEMA wamekosa kabisa kazi za kufanya? Wazee wa vituko vya kupanga matukio ni CCM
  8. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Whouth huko Yemen usiku huu tuwaombee sana!!

    Dini ya wazinzi hiyo. mtume alioa katoto ka miaka 8 jamani si laana hiyo?
  9. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Whouth huko Yemen usiku huu tuwaombee sana!!

    Tunamuombea Tundu Lissu na CHADEMA. NO REFORM NO ELECTION
  10. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Kwanini Oyster Bay hakuna makanisa ya KIROHO?

    Ardhi ni mali ya serikali, mama anajenga misikiti masokoni, ferry, Coco Beach etc
Back
Top Bottom