Recent content by mosi63

  1. M

    KERO Wanaokamata Bodaboda na kuwatoza faini Mkuyuni Mwanza ni kweli Askari Polisi wasio na sare au matapeli?

    Inaweza kuwa pikipiki ni mpya bado hajapewa namba au namba ya Zaman imekatika na kuisha uko kwenye harakati za kutafuta namba nyingine, huwezi kupak pikipiki ukisubiri namba
  2. M

    KERO Wanaokamata Bodaboda na kuwatoza faini Mkuyuni Mwanza ni kweli Askari Polisi wasio na sare au matapeli?

    Katika Jiji la Mwanza eneo la Mkuyuni karibu na Nyegezi Kona, kuna kundi la Watu wanajitambulisha kuwa ni Askari Polisi wakiwa hawana sare wala vitambulisho wanakamata Pikipiki (bodaboda) zisizokuwa na Namba (plate Number) na kuwapeleka wahusika ofisini kwao. Wanazifunga kwa cheni na kufuli...
Back
Top Bottom