Recent content by Moses James

  1. M

    Wananchi kanda ya ziwa waanza kurudisha kadi za CHADEMA!

    Ukanda na ukabila sio kigezo cha uongozi safi.. Magufuri aishie kwao uganda na wazinza wenzake wote halafu aache kutumia jina la kisukuma wakati yeye ni mzinza, kama kaweza kuukimbia uzinza na kuvaa usukuma vp akipewa nchi...?
  2. M

    CHADEMA: Kuanzia Jumatatu, Sept 22 ni wiki ya Maandamano Nchi nzima bila kikomo

    duuuh!!!!! ccm vilaza kweli yaani mnakodi hadi farasi kupambana na watu wasio na silaha? ama kwwli amani ni uzuzu wetu wananchi... yaani maandamano ya aamani kudai haki ya msingi mnatumia farasi,mbwa na AK 47 aisee! VP alshaabab wakitua hapa nchini itakuwaje? vilaza wakubwa nyie
  3. M

    Mapenzi kabla ya ndoa

    tuwe wachumba na tusikutane kimwili mpaka ndoa, je nitajua aje kama mzigo upo au laa maana wengine mumeumbwa na kikojoleo tuu na mnadhani mzigo. Mali lazima ikaguliwe na kufanyiwa mazoezi kama inahimili mziki...
  4. M

    Lema, Nassari na Bush na viongozi wa wilaya Arusha na Arumeru wamekamatwa, haijulikani walikofichwa

    watake wasitake maandamano yako pale pale na yatatikisa viunga vyote vya arusha.... mtakamTa na kuweka sero makamamda wetu lakini fikra zetu hazibadiriki... mtashindana lakini hamtashinda daima.
  5. M

    CHADEMA Arusha wasisitiza kuandamana kesho

    wafuasi wa CCM Ni viraza! sijui elimu yao inawasaidia nin? shame on you
  6. M

    CHADEMA yatosha!

    M4C pamoja Daima 2015
  7. M

    Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

    mbona SAA tano imefika na hakuna chochote mkuu molemo?
  8. M

    Baada ya kushiriki na kushindwa uchaguzi nina haya ya kusema kwa uongozi mpya BAVICHA

    safiiiii sana kamanda Joseph Mungu akunyooshee mipango yenye mafanikio kwa chama na taifa kwa ujumla
  9. M

    Kangi Lugola: CCM wanaweweseka

    Kangi Lugola ni miongoni mwa wanaccm naowakubali sana kwani hayumbishwi na MTU yeyote ndani ya chama chake cha magamba
  10. M

    Mwanasheria mkuu wa Zanzibar ajitoa katika uandishi wa Katiba

    Good!!! chanzo cha habari tafadhali
Back
Top Bottom