Recent content by Morgan Fisherman

  1. Morgan Fisherman

    Kikatiba, kutokuwa na kitambulisho cha NIDA kunaniondolea utanzania wangu?

    Walishasema mbona hata ukiwa na NIDA sio proof kuwa we ni raia
  2. Morgan Fisherman

    Kikatiba, kutokuwa na kitambulisho cha NIDA kunaniondolea utanzania wangu?

    Kuwa na NIDA haimaanishi wewe ni mtanzania
  3. Morgan Fisherman

    Ni nini hasa la lengo la binadamu kuwepo kwenye hii dunia?

    Hakuna sababu, binadamu ni kama wanyama wengine tu sema utashi unafanya tujione special lakini ni tabia tu kama kinyonga kubadilika rangi
  4. Morgan Fisherman

    Sebene la nguvu kutoka Kwa Mkongoman wa mchongo

    Watu wa Facebook
  5. Morgan Fisherman

    Binafsi siamini kama mbinguni ni kuzuri kuliko duniani

    Ukweli ni kwamba hatujui ukweli wowote kinachotokea baada ya kifo
  6. Morgan Fisherman

    Binafsi siamini kama mbinguni ni kuzuri kuliko duniani

    Mbinguni ni kusifu na kuabudu tu hakuna starehe
  7. Morgan Fisherman

    Heche: Huwezi kuua ukweli

    Uzi tayari
  8. Morgan Fisherman

    Kwanini Watanzania wengi sana wanachanganya L na R?

    Harooo hiri swara sio ra kuchekea
  9. Morgan Fisherman

    Wife ananifuatilia sana kwenye mitandao ya kijamii wakuu

    Bila shaka unasikiliza nyimbo za zuchu
  10. Morgan Fisherman

    Je huyu mke wa jirani amefanya vyema?

    Ukiwa mbali shida ukiwa karibu shida
  11. Morgan Fisherman

    Kwa nini mtoto anakuwa wa kabila la mzazi mmoja tu ?

    Mke mwenyewe anachukua jina lako la ukoo
Back
Top Bottom