Recent content by monte caro

  1. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Anachosema kiongozi ukipitia hii thread tumesema kwa sisi tulifanikisha kutoka LGA tukaenda taasisi, maliza mechi nje ya uwanja kwanza. Hakikisha kwanzia unakotoka unatengeneza connection poa, destination ya taasisi umeweka poa na uhakika 100% alafu utumishi una mtu kabisa kwenye approval ndio...
  2. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kufika utumishi hata siku ya pili inawezekana kutokana na jitihada zako kwa mabosi wako, kwanzia supervisor, mkuu wa idara na Mkurugenzi kama wanakupitishia chap inaenda Utumishi kiongozi ila kama hufatilii inakaa siku hata 20 kwa level ya chini
  3. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Haha hii reason ukiangalia sometimes ni nyepesi lakin pia inauzito wake, kuhama toka LGA kwenda taasisi pia ni kutafuta challange mpya, ishu inakua rejected kama huna mtu AU connection yoyote utumishi waku approve na kusubiri barua. Kuna jamaa namjua na hadi leo aligoma toa connection utumishi...
  4. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Pole sana kiongozi. Jaribu tena kwa mfumo saivi wenda bahati ikawa yako sasa
  5. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Itaonekana tuu, attachment zozote za picha naona sheria za JF hadi waverify maudhui yake kama ya elimu au lah ndipo waruhusu!
  6. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ataona kitu kama hicho, na hapa ndio kwenye point muhimu, ukiona utumishi wame reject ni kwasbabu ya comment za hapa
  7. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kama ulishawahi kuona hizo comment negative ni sawa mkuu, au kama kuna ambae alishafanya transfer akaona kilochoandikwa na DG kwenda anakoenda nisawa sio kwa ubaya chief
  8. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Nilisha maliza kitambo na uhamisho nkapata mkuu.. taasisi moja hivi nzuri tuu
  9. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Na wamenyooka mkuu, ni wana comment tuu basi huna la kuwafanya. 😁
  10. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Me na ushuhuda ambao ni positive kabisa, kama nivosema apo juu watu kabla hawajaomba vacancy wanatakiwa mechi wawe wamemaliza kuanzia anakotoka hadi anakopokelewaa, zile comment za walee DGs ni very important kwenye ku escalade transfer yako utumishi. Unatuma transfer mkurugenzi wako hajui...
  11. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ni kweli mkuu, ondoa dhana za kukataliwa akilini. Fikiria majibu positive na inakua hivyo, ukijinenea mema ni bora zaidi kuliko mabaya. Kuna mtu aliongea point hapo nyuma wengi wanaanzisha transfer bila kucheza ground kwanza na kumaliza ndipo uingie kwenye mfumo. Mwisho wa siku wanakutana na...
  12. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kwanzia jana usiku kipnegele cha Transfer kwenye ess kiko busy naona Utumishi wanapakia vibali/ barua za uhamisho hivyo uwe mpole muda wowote utaingia tena utaona, hutakiwi ukiingia usione ombi lako, lazima uone liko level gani limefika.
  13. M

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mwajiri wako anataarifa zako kwamba unahama? Kama hana nenda mwambie na mshirikishe, anakupitishia kama sio mwenye shida. Ila ndani ya siku 10 asipo itoa itaondoka automatically approved kwenda kwenye taasisi unayohamia..
  14. M

    KERO Mfumo wa ESS unasumbua sana

    Hii kiongozi nadhan haikuwa uploaded
Back
Top Bottom