Recent content by Monomer

  1. M

    TANZIA MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    Kwakua mlio karibu mlikua mnamjua basi mngetuekea ata picha,majina yake halisi,ikiwezekana wasifu wake kama upo.
  2. M

    Dili la Saed Ramovic kutua Yanga limefeli

    Kwani kuna sehemu yanga walitangaza kwamba wanamtaka huyo kocha?
  3. M

    Tetesi: Saed Ramovic ndiyo kocha mpya wa Yanga

    Moja ya makocha ambao siwakubali japokua tulimfunga al hilal ugenini tukiwa nae ila kwangu mimi bado simukubali wala, kocha sahihi kwangu mimi ni miloud sijajua nini kilitokea mpaka yanga wakaachana nae
  4. M

    Kenya: Mahakama Kuu, Kaunti ya Nairobi yaamuru Polisi kumrejesha Twaha Mwaipaya akiwa hai au amefariki

    Tulikuaga tunawadhalau mababu zetu kwamba walikua hawana akili kukubali kutawaliwa kimabavu na wakoloni,sasa kizazi chetu nacho pia kina pitia mfumo ule ule na bahati mbaya wale wachache wanaopata ufahamu wanapitia yale yale ya kukatwa mikono na vichwa kama enzi za ukoloni.
  5. M

    Dudubaya atoa pikipiki 30, agawa ajira kwa vijana

    Basi kuna mwanasiasa yuko nyuma yake ndo anapush agenda zake kwa mgongo wa dudubaya.
  6. M

    Jumla ya milion moja na laki sita zangu kwenye liquid fund, wekeza maisha na umoja fund zimeliwa leo kwenye UTT AMIS

    Una muda gani toka uwekeze,hali hiyo ishawahi kutokea huko nyuma au mwenzio yeyote?Wahusika wenyewe wanasemaje?Je wakati unajiunga ulipatiwa elimu ya kutosha kuhusu huo uwekezaji na ukajiridhisha kwa wahusika wao wanaizungushaje mpaka mnapata faida mkiwa kitandani mmelala
  7. M

    Wanawake kubalini kuwa kuna baadhi ya style hamziwezi kunako 6x6

    nenda kafanyie kazi hiki nilichoandika kesho ulete mrejesho
  8. M

    Wanawake kubalini kuwa kuna baadhi ya style hamziwezi kunako 6x6

    wala hana utalaam wowote bali anajitutumua tu,ye anafikili vile anavyoona wakikata mauno kwenye video wakicheza mziki basi hata kwenye tendo laivu ni vile vile hajui kama wanachoka mgongo
  9. M

    Wanawake kubalini kuwa kuna baadhi ya style hamziwezi kunako 6x6

    acha kuokota kila unaemuona kwani unapata nini kutembea na kila mwanamke,kama mkeo unafanya hayo nilyoandika hapoo juu hao wengine huwezi kuona thamani yao.
  10. M

    Wanawake kubalini kuwa kuna baadhi ya style hamziwezi kunako 6x6

    Hakutakuja kutokea staili tamu kuzidi kifo cha mende kamwe.Kifo cha mende ndo pekee wote mtafika kileleni bila kuchoka,bila viungo kuuma bali tu usiikamie,usitumie nguvu nyingi sana,usimkunje sana kwa sababu hapa matumizi ya nguvu kupitiliza eti unakomoa yatakua makubwa sana kwa sababu itabidi...
  11. M

    Uhusiano wa vazi la kijora na Umasikini

    mi bado nakataa mengine sipingi kapatia lakini hilo la umaskini halihusiani na kuvaa kijora bali ni nature ya familia husika na eneo unalotoka.Mbona wa huku tanga ni tofauti na unavyosema,watu wana uchumi wao mzuri tu wa kumudu milo 3 sema utelezi hunyimwi.
  12. M

    Vifahamu viapo vya freemasons kama unataka kuwa mwanachama wao.

    Sasa hao wanaokiri inakuaje hivyo viapo vimewaacha?
  13. M

    Barabara ya kibaha chalinze haitapitika kabisa miaka mitatu ijayo serikali imelala usingizi wa pono!!

    Hivyo ndivyo wenzetu wanafurahi wanasema ni maendeleo
  14. M

    Askari wa TANAPA 3, Askari wa TFS 6 pamoja na migambo 4 mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya watu 4 Kagera

    Au baada ya kuona wamefanya waliyo yafanya ikabidi wavipasue wenyewe kuficha ushahidi
  15. M

    Yanga SC ni lini mtaondokana na hii Aibu ya Kudaiwa na kila Mchezaji ambayo inayowaachieni Laana ya Kimafanikio kutwa?

    Andiko ukilisoma kwa kutulia halina shida lakini bahati mbaya ndo hivo limejaa matusi tu kwakua kuna mihemuko
Back
Top Bottom