Recent content by Monie

  1. M

    NAPE: Kuondoka kwa Mzee Kingunge Chama kimepata ahueni

    Ccm kwa kip enda kuita watu mzigo! Utashangaa hata wewe Nape kuna siku watakuita nawe ni mzigo just a matter of time
  2. M

    Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Tabora

    Huko huko ambomoe na mzee a nayetaka mdahalo si wife wake anagombea?
  3. M

    Channel Ten, mwandalieni Polepole kitanda tu huko studio kwenu

    Nyie TV mnakuwa bias kwa nini hamuwaaliki up and mwingine? Kila siku Slaa na Pole pole tutakuwa hatuangalii TV zenu zinaubazi. People's. .......💪💪
  4. M

    Yahya Msangi: Kuangusha chama dola Afrika si lelemama

    Bora tuwe na fisadi moja Lowasa tutambadilisha kuliko mafisadi 99 waliobaki ccm kuwabadilisha ni ngumu sana
  5. M

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Kumbe uraisi alikuwa anautaka mara ohh sina moyo ya chuma ni wanyama nilishateuliwa na chama changu. Mars siku wa nimeshatangaza tulia ball mzee umechelewa mabadiliko ni lazima
  6. M

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Huo ndio ufisadi wa ccm. Kama kweli Lowasa ni fisadi serial inaogopa nini kumshitaki ? Wanaogopa up and wao kuna uozo mara Mia ya Huo wanaomtuhumu nao Lowasa. Mabadiliko mbele kwa mbele haturudi nyuma
  7. M

    Lowassa agonga Mwamba

    Ndio ccm imewafikisha wanamwonyesha Lowasa walivyochoka. Bila mabadiliko hapo hamtoki mmedanfanywa mpaka mmevia
  8. M

    Shinyanga mjini, wafuasi wa Dr. Slaa wahama CHADEMA

    Pumba zinajichuja ili mchele uwe na ladha. PEOPLE'S POWER 💪 💪 💪 💪
  9. M

    Shinyanga mjini, wafuasi wa Dr. Slaa wahama CHADEMA

    Wamfuate Slaa kwenye champ alichohamia wasituletee fujo. Alisema hana chama ila tunajua kaenda ccm ndio maana wafuasi wake wamemfuata huko. Wanaukawa mbele kwa mbele had Magogoni puma zinajichuja kwenye mchele ili uwe na ladha. PEOPLE'S POWER💪💪💪
  10. M

    Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

    Saa kwa nini aliaa na hivyo vielelezo kwa miaka 9 wakati Lowasa alisema wenye ushahidi apeleke mshakani kwa nini hakupeleka? Anazitoa kwa waandishi wa habari haisadii kitu tunajua waliompa aendelee kula nao mihogo Serena hoteli Sisi na Lowasa mpaka Magogoni
  11. M

    Kweli uwongo hujitenga na uwongo! Mungu huwaumbua wanafiki, hapa anakula mihogo?

    Hayo mamilioni aliyolipa kwenye TV kumwonyesha live kama 5 hivi na hotel ya garama kama Serena anaonekana ni mla mhogo kweli? Padri Acha uongo roho ya uasi imekuvaa.
  12. M

    Kigamboni: Mwanafunzi wa IFM auwawa kisa wivu wa mapenzi

    Kwa waliouona mwili wa marehemu wakati wa kuzika ulikuwa umeharibika sana. Naona hiyo sumu ilikuwa kali kweli jamaa alivimba kama puto kawa mweusi tiiii inatisha sana na inasikitisha. Jamani watoto wetu hamjifunzi tuu? mnatutia huzuni wazazi wenu.
  13. M

    GE2010 TLP yapata mgombea urais mpya

    Mrema hajui asemalo, Anasema yeye hagombei sababu anataka kuongeza nguvu bungeni ukweli ni kwamba kesha pima na kuona urais atafanya kuusikia tuu kwenye vyombo vya habari. Kwanini amdanganye mwenzake akagombee uraisi wakati yeye mwenyewe anampigia debe Kikwete? angemshauri na mgombea uraisi wake...
  14. M

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Jamani njii hii ni ngumu kutawalika ukifanya jema kosa ukifanya baya kosa labda aje malaika kutoka mbinguni kutawala BRAVO KIKWETE
  15. M

    Picha za watoto wakiwa swimming pool

    Inabidi waalimu waelekeze mavazi rasmi yenye maadili ya kitanzania ya kuogelea, na yapo tuu mengi madukani
Back
Top Bottom