Recent content by mondinho

  1. M

    Tamko la wapemba waishio Tanzania bara kuhusu Muungano

    Ha ha ha ah, sijapata sikia idadi ya wa tanganyika waliopo Zanzibar, wala wasukuma waliopo dar au wachaga waliopo mwanza, but hapa naona mnasema mpo laki nane, kwa style hii Mbona mwajibagua????? Sijawahi sikia wahehe au wahaya wanachangia kiasi gani serikalini, nyie mnasema trillioni 1 na...
  2. M

    Aya!mechi ya Man U Vs Man city,imenifanya nione nakusikia nisivyopasa kuona

    Kama story ya kutunga vile, imekaa ki ngoswe ngoswe
  3. M

    Historia ya Noti na Sarafu za Tanzania

    dah, we ni mtu katika watu, thank you for this great historical moment
  4. M

    Movie na series unazozipenda

    Tafuta series inaitwa weeds, ni nzuri ipo season 1 mpaka 8, ukianza kuangalia utatamani uendelee, kama ilivyokuwa prison break
  5. M

    CCM mbona kimya kingi kuhusu kifo cha Mabina?

    Jamaa kafa kama kuku wa kienyeji, pamoja na mahela na ukorofi wake:frusty:
  6. M

    JK kapotoshwa kuhusu tarehe aliyokuja Nelson Mandela mwaka 1962??

    Ha ha ha ahahaa.......but the basic thing is that the late Madiba didnt specify the exact date, but said he met with first president of Tanganyika, na ndio fact ambayondugu yetu amesimamia. mpaka hapo my brother u have no solid fact. ukweli ni kwamba JK was right na wewe upo chaka
Back
Top Bottom