Recent content by momentoftruth

  1. M

    Mwanaume amuua mkewake kwa kumkata na panga kisha na yeye kujiua kwa kunya sumu

    Wanawake wana jeuri sana kaka sishangai watu wenye stmala ndogo kuua .
  2. M

    Warangi wakarimu kuliko ukarimu wenyewe

    Muongeze tena kenge maji huyu
  3. M

    Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

    Nimesikia sehemu kua lile gorofa ni mali ya Baba mzazi wa mwanaume aliloliacha kwa mwanae sasa kesi kubwa hapa nikwamba mwanamke baada ya mume kuanza kuumwa analisalandia kujimilikisha yeye nafikiri na watoto wakati ni mali ambayo haimuusu kabisa.plus na michepuko baada ua mzee kuanza kuugua...
  4. M

    KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

    Hizo ni dhulma za waziwazi kabisa kuna hiyo na ya kuacha kazi mwenyewe hawakupi .ni taratibu zilizowekwa kudhulumu watu haki zao ,maisha yenyewe yakufika miaka 60 yakowapi saahizi.mshkaji ailpaswa kupambana kuichukua kabla hajaanza kazi mpya ata kuhonga angehonga tu.yani hivi vimilioni 6 7 ndo...
  5. M

    Tiger Woods

    Gunners
  6. M

    FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

    Watu ata kupiga hawapigi wanalazimisha mpaka waingie kwenye box
  7. M

    FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

    Wakati tumeikamata mechi dakika 18 za mwanzo tumeshindwa kuwaadhibu walipoikamata wao wakatuadhibu. Ndio Quality inavyotaka. Viongozi waache unababaishaji watuletee watu wenye Quality. Doumbia akatusubiri nje aingie tu mpanzu tukimbizane. Mabeki wetu wakati ni kweli ni watulivu lakini wana...
  8. M

    Aliingilia Msafara wa Mwenge na hicho ndicho Polisi waliamua kumfanyia. Je, ni haki?

    Kwahiyo ndo watupe chakula kwenye mtaro, ule sio mkaa ni chakula
  9. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huwezi kuiombea Arsenal kushinda sio kweli Arsenal wameingia fainali kwa uwezo wao tu
  10. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mzee umechanganyikiwa au unasema mwendo wameumaliza wakati its a final ndiyo mechi ya mwisho ya mashindano hilo neno haliingii hapo. Endeleeni kufanya maombi tulikose ila tukilipata mjiandae
  11. M

    Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

    Unacheza na Yanga unapata nafasi ya kuongoza goli mbili unakua fala mpaka zinarudi zote
Back
Top Bottom