Recent content by mollel_afrika

  1. M

    Royal Madrid

    Halla Blancos
  2. M

    Royal Madrid

    Kwanini mkuu 😁😁
  3. M

    Royal Madrid

    Hakika, miongoni mwa vilabu vikubwa ulaya
  4. M

    Royal Madrid

    Leo nataka nitikise meza ya vinywaji vya gharama kubwa maana watoto wanazungumza kuwa whiskey ndio kinywaji cha gharama kubwa zaidi, sipo mbali nao ila acha niwaambie football ndio kilevi hatari na Cha gharama kubwa sana kwani kinahitaji moyo na muda kama malipo ya kile unacho taka kukishuhudia...
  5. M

    NI NANI HAWA CULES?

    JIKUSANYENI WOOOOOTE! Niwaandikie mshororo wa vina isiyo na mizani, niwaeleze kuhusu furaha ya soka na uchungu mkubwa wa mapenzi ya mpira wa miguu. Ndio ule uchungu wa kuumizwa pale unapokuwa na kikosi kinachoaminika kuwa ni bora, halafu unakutana na mdhaifu anakufundisha jinsi ya kucheza...
  6. M

    Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Kwahiyo anatimiza ndoto zake zaa utotoni za kushindania na wzabuni 🤨🤨🥷🥷😁
  7. M

    Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

    Daaah, mahusiano yangu ya mwisho nilikuwa na liability, Kila day ukiona simu yake unatamani uwasha airplane mode
  8. M

    Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

    Daaah, mahusiano yangu ya mwisho nilikuwa na liability, Kila day ukiona simu yake unatamani uwasha airplane mode 😅😅
Back
Top Bottom