Recent content by Mollel_ Jr

  1. Mollel_ Jr

    PreGE2025 Askofu Gwajima ajibu mapigo. Asema Gwajimanization ni kusema ukweli hata kama hauwapendezi walioko madarakani

    Shida ni kwamba ukisimamia ukweli unachukiwa badala ya kuchukia vitendo viovu katikati ya maisha ya watanzania wenzetu
  2. Mollel_ Jr

    Askofu Dr Bagonza: Mwongozo wa Kuhama Chama

    Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama: 1...
  3. Mollel_ Jr

    PreGE2025 Askofu Bagonza: Nimepokea taarifa kuwa 'Wasiojulikana' watakuja kunimaliza

    Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe _______ Leo 8/5/2025, Papa wa 267 (Papa Leo XIV) amechaguliwa. Ni Mwana Chicago mwenzangu; Mwana CTU mwenzangu (CTU ni chuo kikuu cha Theolojia cha Kanisa Katoliki ambapo Bagonza kasoma hapo pia). Na ni Mwana...
  4. Mollel_ Jr

    Je kuoa mwanamke aliye kuzidi elimu ni Ujinga or?

    Kumekuwa ma mjadala juu ya hili je wadau hili lina ukweli au inategemea?
  5. Mollel_ Jr

    SI KWELI PreGE2025 Mume wa Maria Sarungi amekamatwa na dawa za kulevya

    je hii taarifa ya kweli kihusu mwanaharakati maria sarungi
  6. Mollel_ Jr

    TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

    Poleni sana kwa watu wote walio guswa na msiba huu
  7. Mollel_ Jr

    Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

    Mi suala la muda tu hakuna siri chini ya jua
  8. Mollel_ Jr

    Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

    Makontena ya tende
  9. Mollel_ Jr

    Mke wangu nikifanya nae Mapenzi anasema anaumia na tumbo linaanza kumuuma

    Ni vizuri kutembelea kituo cha afya ili kupata ushauri wa Daktati.
  10. Mollel_ Jr

    Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

    Wana leta udini wakati wanasemaj serilali Haina dini
  11. Mollel_ Jr

    Makapuku Forum

    Vizuri
Back
Top Bottom