Recent content by Mohammad Waziri

  1. M

    Boys to Men

    Hivi nani aliye coin hilo jina "Boys to Men"?
  2. M

    Mazuri na Mabaya ya Serikali ya Awamu ya Nne!

    Ni kweli kila serikali haikosi mazuri na mabaya yake. Zingine mazuri yanazidi mabaya na zingine mabaya yanazidi mazuri. Ila mkuu haujatueleza kiujumla je unaona serikali ya awamu ya nne imefanikiwa? Kwa maana mazuri yamezidi mabaya au mabaya ndiyo yamezidi mazuri?
  3. M

    Swali

    Mh very thought provoking. Naamini hapa utapata majibu mengi ya hasira japo ni kweli siyo kila anaesema ana mapenzi ya dhati ni kweli anayo mapenzi ya dhati. Haswa humu ndani ya JF ni rahisi sana mtu mwenye jina feki kujidai ni mshabiki lakini akitoka humu ndani anakua kimya.
  4. M

    GE2010 Nov 2015

    Je kama Mungu akikujalia uzima na afya tele Novemba 2015 atakapo apishwa raisi mpya utajisikiaje? Je uta huzunika JK kuondoka? Je utafurahia yoyote yule kuingia ikulu ilimradi tu JK anaondoka? Au je una matumaini mengine ambayo ungependa kuona yatumie? Binafsi mimi nitafurahi sana serikali mpya...
  5. M

    Mbunge anapotumia muda mwingi kutoa shukrani

    Ina nikumbusha baadhi ya nyimbo za densi ambazo badala ya kutoa ujumbe mwimbaji anatumia muda mwingi zaidi kutaja majina. Mwisho wa siku hata madhumuni ya wimbo unakuwa hauoni. Ni aibu na ina chekesha.
  6. M

    Taifa kwanza!

    Inauma na kusikitisha pale Watanzania tunapo jitenga katika makundi mbali mbali kwa kusudi la kufaidisha wachache badala ya kuendeleza taifa kwa pamoja. Kuna makundi mbali mbali yanatumia tofauti zetu za kichama, kidini na kikabila kuendeleza ajenda zao za siri. Wito wangu ni kwa Watanzania wote...
  7. M

    Takukuru yenye meno, sio tu ya maneno

    Takukuru ni mbwa alie ng'olewa meno ili asije aka ng'ata hadi wamiliki wake. Ndiyo maana makali ya Takukuru ni kwenye kukamata watoa na wapokea rushwa wadogo tu.
Back
Top Bottom