Recent content by Mohamed Said

  1. Mohamed Said

    Ibrahim Rahby Anazungumza

    https://youtu.be/xLi-5ql_uLs?si=YWPzt2UKgArgbwil
  2. Mohamed Said

    Historia ya TANU Ilifichwa?

    Misha, Hili la kutabiriwa Nyerere nimekueleza kuwa sijalikuta popote katika utafiti niliofanya.
  3. Mohamed Said

    Ibrahim Rahby Anazungumza

    Ibrahim Rahby anazungumza sina uwezo kamwe wa kutia neno langu juu ya lake: https://youtu.be/2cxRScX9LPk?si=1zJyPQOQw59n9cOV
  4. Mohamed Said

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Nguvu, Mimi hueleza lile nililotafiti siweki hisia zangu. Bahati mbaya sana Abbas Sykes hakupenda kueleza mchango wake katika siasa za Zanzibar ingawa inajulikana kuwa yeye ndiye aliyekuwa akipeleka fedha ASP kutoka TANU na kazi hii alipewa na Nyerere. Karume alikuwa kila akija Dar es Salaam...
  5. Mohamed Said

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Nguvu, Kweli inasemwa alikuwa Dar es Salaam Shaaban Robert Street, nyumbani kwa Regional Commissioner wa Eastern Region, Abbas Sykes. Hivi ndivyo walivyopanga kuwa ikiwa mapinduzi yasipofanikiwa Karume aendeleze mapambano akiwa Dar es Salaam.
  6. Mohamed Said

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    La Nguvu, Mimi sijakataa mchango wa Okello. Ila nasema hakuwa na umuhimu na hizo sifa alizotwikwa. Muhimu katika mapinduzi walikuwa Wamakonde kutoka Kipumbwi. Hawa waliua Waarabu wengi waliokuwa mashamba.
  7. Mohamed Said

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    https://youtu.be/KAJfYFvB-jk?si=zZkFORa-mQV8ztfD
  8. Mohamed Said

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Nguvu, Namjua Okello kwa kutafiti historia yake toka alipokuwa Pemba hadi alipokuia Unguja. Sijui "miyeyusho" unakusudia kitu gani naomba nifahamishe: https://youtu.be/n4TVe7DdzZs?si=uStZ5zXqLV2VrLMd
  9. Mohamed Said

    Kifungo Cha Tundu Lissu Katika Historia ya Mageuzi Tanzania

    Kina... Tuvute subra.
  10. Mohamed Said

    Kifungo Cha Tundu Lissu Katika Historia ya Mageuzi Tanzania

    Salari, Kipi kinakufanya wewe uamini kuwa mimi nina roho ya uovu?
  11. Mohamed Said

    Kifungo Cha Tundu Lissu Katika Historia ya Mageuzi Tanzania

    Salari, Lakini mimi ujinga si sifa yangu.
  12. Mohamed Said

    Kifungo Cha Tundu Lissu Katika Historia ya Mageuzi Tanzania

    Tate... Sikujua kama wewe ni mwanahistoria. Kwa ajili hii nitakuuliza swali. Ilikuwaje historia ya Tanganyika kuandika na ikaacha kuwataja watu muhimu sana katika kuunda African Association?
  13. Mohamed Said

    Kifungo Cha Tundu Lissu Katika Historia ya Mageuzi Tanzania

    Salari, Bahati mbaya kwako hujui fikra yangu kuhusu suala hilo toka mwanzo.
  14. Mohamed Said

    Kifungo Cha Tundu Lissu Katika Historia ya Mageuzi Tanzania

    Salari, Udini ni mathalan watu wa dini moja kujipendelea na kuhodhi fursa zote katika nchi kuanzia serikali, mashirika ya umma nafasi za masomo nk. nk. Huu ndiyo udini. Mimi nimeandika historia ya kweli ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Ikiwa huu ni udini tuitaje kitendo cha kufuta historia...
  15. Mohamed Said

    Kifungo Cha Tundu Lissu Katika Historia ya Mageuzi Tanzania

    Kadhi... Yawezekana sababu ni kuwa walioandika historia ya Tanganyika walitishika mno na mchango mkubwa wa Waislamu katika kupigania uhuru wakaamua kuigeuza historia. Sasa nilipokuja kuandika historia hii kwa ukweli wake ukashtusha wengi na hawakuupenda...
Back
Top Bottom