Recent content by MNFUMAKOLE

  1. M

    Jaji Ndunguru anachekesha sana

    Huyu jaji ni matako kabisa!! Sijui kama mgongo wake uko salama!?
  2. M

    PostGE2025 Swali Linalojirudiarudia: Kina nani Wanataka Maridhiano na Kwanini?

    Macc ndio yanahangaika kutafuta maridhiano, lengo ni kijisafisha kimataifa.
  3. M

    Kipanya: Mtakuja kulia! Wachina hawaji kwa bahati mbaya, ni mpango wa Makusudi

    We pompoma hatuzungumuzii kuwakimbia Wachina, tunazungumuza kuhusu kuweka sheria na sera za kuwalinda wafanyabiashara wazawa.
  4. M

    Kipanya: Mtakuja kulia! Wachina hawaji kwa bahati mbaya, ni mpango wa Makusudi

    Hii ni kweli kabisa!! Unakuta Mchina amefungua duka la kuuza pik pik na spear Runzewe, unategemea Musumbwa wa Runzewe ataweza kushindana na Mchina!?
  5. M

    Nimempoteza mke wangu kipenzi

    Pole sana ndugu yangu!! Mungu akutie nguvu!
  6. M

    Ilikuwaje Tundu Lissu na ndugu zake wameshindwa kujenga nyumba za kisasa kwao?

    We peleka mgongo wako kwa Abdul
  7. M

    Tetesi: Chadema inatakiwa kujenga sera na imani zake na kuziandika na kuzifundisha. Mkiendelea kuamini watu Ata Heche anaweza kubadilika.

    Lazima cdm iwe na misingi imara na inayoeleweka kwa jamii!! Hatuhitaji tena Madalali wa siasa.
  8. M

    WAACHE — Ishi Maisha Yako

    Shumbi katika ubora wake!
  9. M

    Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Sasa kama tayari wewe umeshagundua kuwa Jamaa Hana akili, basi we Baki na ukweli wako!! Maana umekuja hapa tayari ukiwa na hukumu yako!!
  10. M

    MWENYE DAWA YA JINO

    Tafuta Kavicks ka kihindi, kanaitwa Relax kana picha ya mwanaume wa Kihindi. Paka kwenye jino linalouma.
  11. M

    Mgomo wa Madereva nchi nzima: hii si dalili njema kwa serikali!

    Mapolisi ( mali ya ccm) msitishe watu kwa kutoa matamko!! Nendeni mkatoe matamko Lumumba.
Back
Top Bottom