Wadau kwema?
Nina shida ya kupata garage nzuri yenye fundi mahiri wa umeme wa magari pamoja na fundi mzuri wa body.
Gari yangu ni Subaru Forester SJ5 (2015). Mara ya mwisho nilikuwa na tatizo la gari kugoma kuwaka linapoingia kwenye maji. Baada ya uchunguzi, nimebaini kuwa maji yanaingia...
wadau wa showroom waanze kutuletea gari used za mchina sasa hizi za mjapan tumezichoka,na nyingine zinatusumbua sana the like of subaru,mazda na nissan murrano tunataka matatizo mapya tuhangaike nayo
Wakuu heshima yenu nina kasubaru kangu ka mwaka 2015(SJ5) changamoto iliyokuwa nayo ni kuwa inapoteza mawasiliano kati ya funguo (push to start) na switch ya kuwashia gari ,nimekuja kugundiua mawasiliano hupotea pindi gari linapokuwa limeloa aidha nimetoka car-wash au kuloa na mvua ,naombeni...
Wakuu kwema?
Wale wazoefu simu yangu ya Samsung aina ya S25 muda mwingi inaniambia camera failed hivyo haioperate chochote na baada y masaa mengi kupita hurudi na kuoperate normaly walau kwa muda mchache nimejaribu kufuata njia mbalibmali za online kusolve tatizo lakini bado lipo naomba...
ahsante naamini inawezekana pia hii ikawa sababu kwa kuwa nilibadilisha tairi moja la nyuma niliweka jipya liilokuja na gari lililpasuka kwa hiyo inawezekana tairi jipya limeleta imbalance,na matairi yaliyokuja na gari hayajachoka yapo OK
Wakuu heshima yenu, nina changamoto kidogo SJ5 ikifika spidi 95 and above mpaka 105 huonyesha dalili ya kutetemea kidogo hasa katika usukani zaidi ya hapo au chini ya spidi hiyo huwa ipo sawa kabisa bila ya shida yoyote.
Naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini na nini napaswa kufanya, nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.