Recent content by Mndali ndanyelakakomu

  1. Mndali ndanyelakakomu

    Wapi Mashabiki wa Man City?

    Ni kweli ila Kwa timu ilivyo imekosa kabisa morali ya ushin Nadhani unapaswa kuheshimu wengne ndio ujibu majibu yako hayo
  2. Mndali ndanyelakakomu

    Wapi Mashabiki wa Man City?

    Ni kweli ila Kwa timu ilivyo imekosa kabisa morali ya ushindi
  3. Mndali ndanyelakakomu

    Wapi Mashabiki wa Man City?

    Mechi inaendelea akibadilika anashinda
  4. Mndali ndanyelakakomu

    Wapi Mashabiki wa Man City?

    Timu ipo ila kocha hayupo maana anayumia mifumo ya haieleweki
  5. Mndali ndanyelakakomu

    Kwanini ukiingia mahabusu jamaa wanakwambia ukaoge

    Ile unatolewa wenge la uraiani kwanza wao wanasema ukaribisho wa makazi mapya
  6. Mndali ndanyelakakomu

    Makapuku Forum

    Mkuu habari yako
  7. Mndali ndanyelakakomu

    Makapuku Forum

    Nashkru mkuu na nimefurahi pia kuwaona mko mnaendeleza hapa jukwaani
  8. Mndali ndanyelakakomu

    Makapuku Forum

    Tuko pamoja mkuu
  9. Mndali ndanyelakakomu

    Makapuku Forum

    Salama kabisa mkuu tupo tunakimbizana na dunia tu
  10. Mndali ndanyelakakomu

    Makapuku Forum

    Amina habari za siku nyingi
  11. Mndali ndanyelakakomu

    Makapuku Forum

    Asante Kwa magazeti shunie
  12. Mndali ndanyelakakomu

    Makapuku Forum

    Asante Kwa magaezeti shunie
  13. Mndali ndanyelakakomu

    Makapuku Forum

    Chikamoo humu ndani
  14. Mndali ndanyelakakomu

    Hivi wanawake wanataka nini..?

    Unaweza kujiuliza maswali ambayo majibu hayapo hivyo fuata mwongozo wa comment ya kwanza
  15. Mndali ndanyelakakomu

    Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

    Kuna vitu vinazungumzwa Kwa namna unavyo taka na vingne lazima vije kinyume na matarajio yako ISHI ukijua hilo
Back
Top Bottom