Hakuna mnaloweza nchi hii zaidi ya kushiriki mbio za mwenge. Watanganyika hamjitambui ni waoga kuliko uoga wenyewe. Hamna msimamo wala mshikamano mpompo tu kama maiti mochwari. Endeleeni kuzikalia akili huku mkibiruzwa mithili ya mbuzi wa kafara. Endeleeni kulala maiti ninyi mtaamka siku ya...
Tanganyika wanaishi wafu kwani wana desturi ya kutojitetea wenyewe.
Sidhani kama maiti hizi zina hofu yoyote kwani hazifeel lolote. They are living dead!
Huko tiss na ccm kumejaa watu wa hovyo mno wasiofikiri kwa kina. Mapichapicha haya yametengenezwa kwa lengo la kuwahamisha vijana ambao ni wengi kwa idadi kimawazo ili wasiwe na muda wa kujadili hukumu ya Lissu kwa kina na badala yake watafakari juu ya mapicha ya ngono.
Rai yangu kwa vijana...
Come on your sense gentleman. Hakuna kosa la kuzuia uchaguzi kwenye sheria zenu. Na mahakama haifanyii kazi perception za individuals or groups kwani siyo wote wanatenda kwa conscious mind.
Kusema yaliyotokea ni uthibirisho wa nia ya mtuhumiwa siyo sahihi kwani hata hivyo walioua wananchi ni...
Ila katusaidia sana kujua kuwa uchaguzi haukufanyika kwa sababu ya vurugu. Swali, je zile 98% zilitoka wapi wakati uchaguzi haukufanyika?
Mwaipopo chunga sana kwani unaodhani wamekuweka mbele kama spika watakushughuloloa maana umewasokomezea kaa la moto kunako!
Tangu uanze kuutafuta huo mkate umeweka store mingapi? Kama unayo mentality ya kutoka ndio ule, una tofauti gani na kuku? Wanaojielewa hawatafuti vy kuka leo bali miaka kumi ijayo. Acha uzwazwa!
Nawe ni mmoja wa wasioelewa! Wakuu wa vyombo vya dola wametimua mbio kuogopa maswali ya dodoso kutoka kwa Lissu na wangeaibika mno kwani ni weupe mno kwenye uwanja wa sheria na huenda wangemtaja bi mdashi kama mtoa amri ya kushoot to kill.
Igp angeulizwa aliyempa amri ya kutangaza hali ya hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.