Recent content by Mnala

  1. M

    Tanzania nayo kupata matirilion ya fedha toka world bank kupambana na Covid-19?

    Tanzania Corona imeisha tunasubiri sherehe Jpili hela za nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

    Kwa Sasa tujue gonjwa lipo iliyobaki kujilinda mwenyewe na familia yako tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Rais angalau awe ameshakuwa Waziri wa Mambo ya Nje au Balozi; kwa hili Nyerere aliona mbali

    Aliye tufaa alikuwa Membe Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Matokeo ya vipimo vya "sampuli za Magufuli" ni ya kizushi

    Na ndiyo maana wakati wezetu katika nchi nyingine wako busy kutafuta chanjo ya ugonjwa huu sisi tunahimizwa kutafuta majani ya kujifukiza. Tutaachwa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Mwita Waitara: Apigilia msumari umeya Ubungo, asema Boniface Jacob siyo Meya tena

    Siasa zenyewe kama ndo hizo halafu watu waende kupoteza muda wa kupiga kura kweli?? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Rais Magufuli umetuvuruga wala sio siri tena. Hotuba yako ya leo Chato imezidi kuleta taharuki

    Incomplete explaination Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

    Wameisha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Serikali inaomba wananchi kuchangia fedha za kupambana na COVID-19?!

    Kwa Nini serikali haijaleta bajeti ya dharura bungeni kwaajili ya Covidi 19? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Food For thought: Kwanini Watu Sasa wanazikwa Usiku, tena na vyombo vya Serikali?

    Kwakweli ni kinyume kabisa cha utamaduni wa mwanadamu aliye sawa. Utadhani ni huduma za kikafara Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Corona Virus: Zanzibar yatangaza maambukizi mapya 7. Visa vyafikia 105 (Aprili 28, 2020)

    Informer, Bara kuko salama? Maana maambukizi mapya hayatangazwi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    TISS, take a note: WHO imeonya kuwa hakuna ushahidi watu waliougua korona kutoambukizwa tena

    Ni muhimu sana kuchukua hatua japo kuwa ninahisi tumesha chelewa ugonjwa umesha sambaa nchi nzima Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila astuka , Atengua zuio la kufunga Bar kuzuia Corona

    Duh Mungu tunakuomba utunusuru na gonjwa hili maana wanadamu wanatoa maagizo na kuyafuta kabla hata masaa 24 kuisha Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    TBC yakanusha uzushi juu ya 'kifo' cha mtangazaji wake Gloria Michael

    Duh jamanii kwa Nini watu wanafanya hivyo? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom