Recent content by Mnafiki Wa Kujitegemea

  1. M

    Kesi ya Tundu Lissu yakwama Kisutu, mawakili wake hawakupewa taarifa

    Kuwa na soni basi jamaa yangu. Mtu kabambikws uhaini,akasema kuwa waje mawakili woooote wa serikali ila najitetea mwenyewe. Match ikaanza 5 v 1 ,kilichotokea ni historia. Wakamlazimisha refa alazimishe kwenda muda wa ziada. Najua atashinda tena,watalazimisha kwenda kwenye penalties nako...
  2. M

    Haya yote ya nini Kwenye Nchi ya Tanzania?

    Jamaa wanaungana na timu KATAA NDOA.
  3. M

    Kule ntaandika bila kodi, Hapa naweka kodi

    Ni bora hii el-nino itembee naye tu.
  4. M

    Biashara Yangu Ya Kukodisha Magodoro Misibani

    Wewe jamaa mbona kama unaleta utani.
  5. M

    Biashara Yangu Ya Kukodisha Magodoro Misibani

    Mungu akujalie uendelee kutoa hiyo huduma jamaa yangu. Jitahidi unapoandika MAJITA uandike kwa herufi kubwa ijapo una uhuru. Yego msigaji,ifwamba go. Anyone nenda obhwiganilisya bhwao bhaebhu. Nolo umulamugasi wao one numubhwile akole ebhyasala ebhyo kwokubha ni mugasi kabhona abhanu bhafu...
  6. M

    Wakuu nina wazo kuhusu mazingira ya watoto kike, wakiwa shuleni wakati pia wakiwa period

    Kwa hiyo wewe dogo unataka uwe na uhakika wa kuksanya mzigo kwa wingi si ndiyo?
  7. M

    Askofu Bagonza: Naanika ujinga wangu na kuficha hekima yangu

    Kwa hiyo Lissu hana hatia iliyopelekea ahukumiwe kifungo,bali ni kukataa hayo yanayoitwa maridhiano ndiko kumepekea afungwe?
  8. M

    Godbless Charles: Freeman Mbowe na swali la utu: Je, tofauti za kisiasa zinapaswa kututenganisha hata katika nyakati za majonzi?

    Ni sahihi ni kwa taifa zima,lkn Mbowe aliwaaminisha kuwa yuko pa1 nao mpaka kieleweke wakati haikuwa kweli.
  9. M

    Kiongozi wa CHADEMA, Rose Mayemba aomba hifadhi UNHCR

    Hizo wanazopiga wakidai ijapo mwili wake wauzike wewe umeona kichekesho kutamani wanaharakati wawasaidie kupiga kelele ili hitaji lao litimizwe? Nadhani hauchekeshwi ila unajichekesha.
  10. M

    Naona anayekuja kumrithi Diamond kwa kujulikana Tanzania na duniani ni mimi

    Sidhani kama hiyo orodha imekamilika,labda mpaka uiongeze 4; CCM.
Back
Top Bottom