Recent content by Mnachihanguu

  1. M

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mkuu kikubwa ni uhakika wa pesa kila mwezi hilo ndilo la msingi
  2. M

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Yeye ni binti wa miaka 18 kamaliza form four
  3. M

    PostGE2025 Yeriko Nyerere: Nimepoteza Ndugu wawili katika vurugu zilizohamasishwa na CHADEMA

    Wewe ndie umesema kuwa siku hizi unampenda Yeriko sasa unakataa maneno yako msichana?
  4. M

    PostGE2025 Yeriko Nyerere: Nimepoteza Ndugu wawili katika vurugu zilizohamasishwa na CHADEMA

    Swali langu kwako ni jepesi mno binti yangu
  5. M

    PostGE2025 Yeriko Nyerere: Nimepoteza Ndugu wawili katika vurugu zilizohamasishwa na CHADEMA

    Binti nimekuuliza swali jepesi si ungejibu tu
  6. M

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ila mkuu vipi jinsia ya kike wanachukuliwa kwa uwingi jwtz kwasasa? kwa sababu Kuna mtu ka comment kuwa siku hizi jw haiajiri jinsia ya kike sana
  7. M

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kivipi hawana wema?
  8. M

    Tundu Lissu Kupandishwa Mahakamani Kisutu 19/11/2026 kwa kosa la Uchapishaji wa taarifa za Uongo

    Hivi wewe kwa akili yako unategemea lissu angechomoka kwenye ile kesi kwamba aachiwe huru? Rostam alisema mahakama za Tanzania ni za simu....
  9. M

    Nimeoa mwanamke ana mtoto - leo naomba niwaambie ukweli mchungu wanaume wengi hatusemi

    Muombee dua ili apate madini hakika lazima atapiga pasu na wewe
  10. M

    Ile kauli ya Lissu, ilikuwa halali mbele ya mahakama?

    Sio kiwepesi hivyo huwezi kumfananisha lissu na polepole na siamini kama Lissu anataka asisahaulike
  11. M

    Ile kauli ya Lissu, ilikuwa halali mbele ya mahakama?

    Mimi naamini yupo sahihi kwasababu hata Rostam alishawahi kulizungumza "mahakama za simu" kwamba simu moja tu inapigwa kwa hakimu au jaji anaelezwa fanya hivi
Back
Top Bottom