Hivi ndugu zangu mmesoma uzi wote au ndio hivyo mnaona uvivu na kuamua kufanya conclusion kwa mm niliekwenda English course ya wiki tatu nimeelewa kuwa dawa hiyo kwa sasa ndio inafanyiwa majaribio kwa watu huko south africa tena kama itafanikiwa itatibu HIV-1 infection. sasa ww unaekwenda...
lengo la mada yako ni kutukanwa au kuchochea watanzania. inaonekana unatekekenywa somewhere with some one ponda ponda ponda ponda mada kama hii kakae na mke wako ndani/anaekutekenya mjadili sio humu na ujumbe huu uwaendee wanakutekenywa wenzako wote waliomo humu ndani.
sio kosa lako tatizo husomi hata hapo uganda tu joseph konyi anawauwa watoto nakubaka wanawake kwasababu ya ukristo wake tena eti roho mtakatifu anamshukia ila yeye sio gaidi tangu mwaka 1986 link...
mimi kama muislam naweza kukusaidia ni kwamba kuitwa magaidi na majina mengine kama hayo sio mwanzo leo wala jana ni tangu mtume, makafiri wamekuwa wakiwaita waislam majina mabaya na imeandikwa hata kwenye kitabu, sasa ss waislam hatushangai tunajua ipo hivyo.
kiongozi wa LRA (Lord Resistance...
haya mambo yanafaida zake na hasara zake. mfano kuna jamaa moja aliamua kuchukua uamuzi uliochukua ww tena yeye aliamua kuwafuata wazazi wa binti moja kwa moja bila ile ya vichochoroni siku yakufunga ndoa ikawadia wakafunga vizuri bila tatizo lolote ila jamaa alikuwa na tatizo la soksi zake...
bwana ww utaweza mambo ya pesa hayo na hivyo vijishiling vyako hata ukinunua pipi chenchi hairudi chakufanya nenda kanunue deto au jamaa kitakachoendelea unajua
bwana ww naamini kabisa kuwa ww unatudanganya na hiyo figure ulioiweka (70mademus) bora ungetudanganya ukasema wako hamsini na kumi hivi sasa ww unasema sabini net huon huo ni uwongo ukweli inawezekana wanakusumbua lakin wapo kama kumi na. Hebu tufanye kama unachosema ni kweli ushauri wangu...
madomo zege ndio zenu ww badala utafute kwa jasho lako unataka kula kwa mgongo wa mwenzio mbona majanga? chakufanya bora umweleze demu ukweli kama atakuelewa umwombe msamaha rafiki yako kwani kitendo ulichokifanya ni cha usaliti ukizingatia huyo best yako alikutambulisha kuwa anataka cm yako...
sio bure kuna kitu huwa unaangalia kwa hao madada nahisi itakuwa upande wa vigimbi miguuni kwasababu ya kupanda milima haiwezekani useme tena utaje na vituo kwamba kuanzia ubungo stendi ya daladala kwenda mbezi kwa akilizangu ninaona kabisa kuanzia hapo ni milima ya hapa na pale so kama ww ni...
duuu nowma ila statistical kwasisi tulio soma soma kidogo sample uliotumia ni ndogo sana ku justify your claim about the population coz ki statistic ingebidi wawe 30 ili angalau iwe ina approximately normal distribution. hata hivyo kipimo ulichotumia sijui SI Unit yake ladba tukitafutie jina...
hivi bajeti ya ulinzi imesha somwa inawezekana kabisa kukawa na ushawishi ili bajeti iongezeke wapate na ya nyumba ndogo. kwa uelewa wangu mm mdogo sizani kama tunakamata kilicho ibiwa inatakiwa tukamate mwizi men
mtu mpumbavu sikuzote ni yule anaeambiwa au kusikia jambo kisha kulifanyia maamuzi bila ya kufikiria kwa kina. usifikirie ndan ya box. maswali ya kujiuliza ni kwamba sisi hatuwezi kufanya uchunguzi mpaka CIA na FBI. kwa uelewa wangu mm ni kwamba ukiruhusu taasisi za nje za kijasusi...
Hivi kumbe sisi hatujui lolote kwenye maswala ya ulinzi ni kwann kila kitu FBI hata zile tume zetu pia haziwezi ipo haja ya kubadilika maana itafikia hata wezi wa mikonon tutawaita FBI
we are poor because we are poor discuss
hivi unaelewa kusoma kingereza kweli au unababaisha? Iran hawana kosa kwani wamesajili kihalali kutumia bendera yetu sisi ndio wenye makosa kwani serikari ilikiri kufanyika hilo na ni kupitia agent wetu wa huko dubai alijichanganya
chuki gani kasambaza kama sio ww mwenye chuki
mtu anashtakiwa na mahakama kwa kosa la kuvamia kiwanja sasa ww na yeye nani anachuki kama sio ww mpumbavu mkubwa tena ------ unaependa kushobokea watu inaonekana kabisa ww ni mdini paka ww
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.